Sema Serikali ya Raisi Dr.John Pombe Joseph Magufuli ya awamu ya Tano haina masiahara na ubadhirifu wa fedha za umma.Sasa hivi ni awamu ya mtu sio chama,mpaka kusafishwe kutakasike ndio chama kiingie.Mungu akupe maisha marefu Raisi wetu,unatufariji sana.Sawa, Serikali ya CCM awamu ya Tano haina undugu na yeyote, ubadhirifu wa fedha za uma ni makosa wacha sheria ifuate mkondo wake, na haki ionekane kwa pande zote.
Teh,teh....kumfunga miaka mitatu kisha anakata rufaa kupitia wakili wake yeye akiwa huko kifungoni anashinda kisha inakuwa miaka miwili halafu anaambiwa hu mwaka uliobakia akafanye usafi amana hospitali pia akawasaidie wahasibu wa pale jinsi ya kurekebisha bajeti aisee ONLY IN TANZANIA.Wawapokonye mali zao hapo itakuwa safi zaidi...lakin kumfunga mtu miaka mitatu kisha aendelee kutumbua hela alizoiba bora waache tu
Vyovyote vile ila the Good thing is, kila aliyefanya isivyosahihi ni vyema akakumbushwa alichokifanya kua kilikua sio sawa.Sema Serikali ya Raisi Dr.John Pombe Joseph Magufuli ya awamu ya Tano haina masiahara na ubadhirifu wa fedha za umma.
Atawafikia tu. Hata mimi siyo ccm ila nina imani na msgufuli siyo ccm. Tusubiri june akishika kila kitu atafanya ksma rais wa china ataanzia ktk ccm alishasema hataki kuishi na wsnafikiMimi sio CCM, ila Ninamuombea Rais Magufuli kama MTANZANIA mzalendo.
Akiwezesha na makada wa chama chake, wale WAKUBWA kuchukuliwa hatua kwa kuifisadi hii nchi ... NITAZIDISHA maombi zaidi..!
Tunataka kuona Ana hukumiwa miaka ya kutosha akibainika!na wasipewe mwanya wa kutoa dhamana maana mtu kama dau unaweza kutoa hata bio 10 ya dhamana
Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na unadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..
Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...
NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.
Tunataka atugusie na wahusika walioiba ESCROW na kuchukua mapesa viroba pale STANBIC.
Na pia kuhojiwa na TAKUKURU siyo dawa tunapenda wafirisiwe ili kufidia.
Sawa, Serikali ya CCM awamu ya Tano haina undugu na yeyote, ubadhirifu wa fedha za uma ni makosa wacha sheria ifuate mkondo wake, na haki ionekane kwa pande zote.
Source Please!
Kazi ipo ,mwaka huu kuna watu watajinyonga tu. Maana mibuyu inadondoka . Lakini nina hofu na mzee wa kuzungusha mikono ,sijui watamfikia?
Tunataka tuone wahusika wa Richmond wakipandishwa mahakamani
RICHMOND
RICHMOND
RICHMOND
RICHMOND
mbona lowasa hapandishi mahakamani...lowasa fisadi sana yule jamaa...naitaka serikali impandishe mahakamani haraka sana....la sivyo sisi vijana wazalendo tutaandamana hadi ikulu
Kinga inaweza kuondolewa na bunge tukufu kama kuna tuhuma zenye mashiko na kama kuna utashi wa kufanya hivyoHizo ngoma zina kinga ya maisha ya kikatiba ya kutoshtakiwa wala kuhojiwa popote na yeyote ndani ya Jamhuri. La muhimu kwa sasa Rais apambane na mafisadi kwa nguvu zote regardless yeye alifanya nini enzi hizo.
Sina tatizo na kila Mtuhumiwa kupelekwa mahakamani maana hiyo sehemu ya mtu kujietetea !
Lajini anayedhani magifuli ni Mtakatifu na anaweza kukata Tawi alilokalia anajidanganya !
Kuhusu Lowassa anayesubiri kupelekwa mahakamani kwa issue ya Richmond anajidanganya !
Labda atanguliw Yeye kikwete
Mawaziri waliotajwa bungeni na makatibu wakuu !
Hapa Mbwembwe !!
mbona lowasa hapandishi mahakamani...lowasa fisadi sana yule jamaa...naitaka serikali impandishe mahakamani haraka sana....la sivyo sisi vijana wazalendo tutaandamana hadi ikulu
Tunamshukuru Mh Rais kwa lipi? Kama mitandao isinge weka wazi haya mambo system yote ilikuwa imesha mlinda. Na ungekuta jamaa sasa ni balozi akiendelea kuulaSasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na unadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..
Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...
NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.
After all madili ya kutisha kama kununua ekari moja kwa zaidi ya milioni mia nane (800,000,00/=) chini ya uongozi wake, this is what zitto have to say?