Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Atawafikia tu. Hata mimi siyo ccm ila nina imani na msgufuli siyo ccm. Tusubiri june akishika kila kitu atafanya ksma rais wa china ataanzia ktk ccm alishasema hataki kuishi na wsnafiki
Sure! Lakini huo ni mtihani mkubwa kwake.

Mimi sizungumzii wale makada anaowaita wanafiki kwa kuwa walimpinga au wamepishana naye kwenye kauli/sera na mambo kama hayo.

Mimi nataka wale makada walio IFISADI nchi hii kwa kuifanya yao washitakiwe! Hao tu!!!
 
Sina tatizo na kila Mtuhumiwa kupelekwa mahakamani maana hiyo sehemu ya mtu kujietetea !
Lajini anayedhani magifuli ni Mtakatifu na anaweza kukata Tawi alilokalia anajidanganya !
Kuhusu Lowassa anayesubiri kupelekwa mahakamani kwa issue ya Richmond anajidanganya !

Labda atanguliw Yeye kikwete

Mawaziri waliotajwa bungeni na makatibu wakuu !

Hapa Mbwembwe !!
Peleka upuuzi wako bawacha
 
Sawa, Serikali ya CCM awamu ya Tano haina undugu na yeyote, ubadhirifu wa fedha za uma ni makosa wacha sheria ifuate mkondo wake, na haki ionekane kwa pande zote.
Hapa sio CCM bali ni magufuri aliyeamua kwani uozo wote huu umefanyika chini ya mwenyekiti wa sasa wa CCM
 
Tunamshukuru Mh Rais kwa lipi? Kama mitandao isinge weka wazi haya mambo system yote ilikuwa imesha mlinda. Na ungekuta jamaa sasa ni balozi akiendelea kuula
Sasa mkuu unajuaje kama mitandao ndio imevujisha hizi ishu na sio system yenyewe??

System iko kazini kila kona, hii ya kwenye mitandao ilikua preemptive strategy to ya kuandaa watu kisaikolojia na wazee wakaamua kupitia gazeti la mwananchi maana ndilo linaloongoza kwa kusomeka kwa sasa mitaani.

System iko kazini aisee
 
Wawapokonye mali zao hapo itakuwa safi zaidi...lakin kumfunga mtu miaka mitatu kisha aendelee kutumbua hela alizoiba bora waache tu

Ni haya hayo niliyoyasema jana nikichangia uzi unaohusu ufisadi nchini hapa. Nilisema hata mngewachemsha wakiwa hai kwenye pipa la mafuta ya uto hadi kuisha kabisa na uma ukishuhudia haisaidii lolote.Dawa ni sheria za jinai zitamke kabisa kuwa ukishapatikana na kosa/makosa ya wizi wa hela ya umma ufungwe sio chini ya miaka kumi na tano na sio miwili/mitatu.Mali zako nchini na nje ya nchi hata kama umewaandikia wanao,nduguzo na marafiki zitaifishwe.Mbona wananchi wanazielewa mali zote za vigogo?Akaunti zake nchini na nje ya nchi zifilisiwe.Mwisho viongozi wanaoajiriwa nafasi za maamuzi wawe na wadhamini sita au zaidi wenye mali zisizohamishika kama majumba ya ghorofa na sio vijumba vya manzese na mashamba makubwa yenye hati.Mali hizi zitafidia pale mtumishi atakapoiba. Utaratibu huu ulikuwepo zamani kwenye vyama vya ushirika na ndio maana hatukuyaona haya.Huu usanii unaofanyika sasa hivi eti kumfunga kiongozi aliyeiba mamilioni miaka miwili jela anamalizia kifungo kufagia mahospitali na kuwatengenezea bajeti ni upuuzi.Unampeleka mtuhumiwa wa wizi wa mabilioni magereza kabeba ndoo zake mbili kwa matumizi ya huko ni kutuona wananchi wajinga.Mwizi wa baiskeli au bodaboda atafanyiwa hayo?Kama sheria zetu hazitamki adhabu hizo bunge liharakishe kuirekebisha hata kwa hati ya dharura ila hofu yetu kwa kuwa waathirika wengi ni wa chama fulani inaweza kuwa ngumu. MNATAKA KUJITEGEMEA BILA MISAADA YA NJE HUKU UTHUBUTU NA KUTENDA HAKI HAMTAKI.RAISI JIFUNZE HUKO HUKO RWANDA.
 
mbona lowasa hapandishi mahakamani...lowasa fisadi sana yule jamaa...naitaka serikali impandishe mahakamani haraka sana....la sivyo sisi vijana wazalendo tutaandamana hadi ikulu
Si andamana tu mkuu kunamtu kakuzuiya
 
Hakika kilio cha watanzania sasa, kinapata wa kuwafuta machozi! Waliokuwa waishi kama wapo peponi, sasa wajiandae kuishi jehanamu ya dunia/..

Hawa watu walitudharau sana watanzania, sasa tumepata wa kuturudishia heshima yetu..!

Aksante JPM
 
Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na unadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..

Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...

NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.
Kama ni kweli kumbe ndiyo maana mameneja aliyewapachika upande wa manunuzi tena wa imani yake waliambaa baada ya kupiga madili huko NSSF!!!! Commander Valentino fanya uchunguzi wa kina, madili mengi yalipitishwa wakati wa utawala wa Alhaji Dau!! this is according to investigative and reliable newspapers!!!
 
Huyu jamaa ndiyo alikuwa analamba mil 36 kwa mwezi? Jamaa bado linataka na ubalozi?
 
Hapa sio CCM bali ni magufuri aliyeamua kwani uozo wote huu umefanyika chini ya mwenyekiti wa sasa wa CCM
Mnanyanyasa sana huyo mzee wa watu mwacheni apumzike...sidhani kama ni sahihi kumhusisha na kila uozo ilhali mambo mengine yapo ndani ya maamuzi ya wahusika...
 
Ha ha ha ha

Mnayoyataman hayawezi kuwaaa...

Roho zinawasokota sana lkn mwisho wa siku mtabakia na maumivu zaid...

Hebu tupe chanzo cha taarifa yako tuipitie..

Report ya Takukuru inaonesha kuwa Nssf chin ya Dr Dau ndiyo least corrupt institution in Tz..wao wenyewe wanalijua hilo..
 
Hahhahhahha
The big show
Ritz
Faiza foxy
Zamiluni zamiluni
Mpo wapi kumenoga huku
 
YAANI MITANDAO NI MUHIMU SANA KATIKA KUREKEBISH NA KUKOSOA. NA NDIO MAANA WALIFIKIA WAKATI MAFISADI WA TANZANIA WAKATENGENEZA SHERIA YA MITANDAO ILI WATU TUSIONGEE.

LAKINI KAMA SIYO MITANDAO YOTE YASINGEJULIKANA.

TUNAOMBA RAIS MAGUFULI AFUTE ILE SHERIA KANDAMIZI YA MITANDAO ILI TUMSAIDIE KUFICHUA MENGI NA UONGOZI WAKE UWEZE KUFANIKIWA KWA MANUFAA YA WATANZANIA NA SIYO WACHACHE KAMA ILIVYO SASA.
Kweli mkuu bila mijizi yote inajuilikana hawahitaji tochi kama kweli magu atafanya kazi kweli basi haponi MTU na yeye anajuwa kila kitu si alikuwemo serekali ni miaka 20 asijuwe mijizi na mikataba feki
 
Kazi ipo ,mwaka huu kuna watu watajinyonga tu. Maana mibuyu inadondoka . Lakini nina hofu na mzee wa kuzungusha mikono ,sijui watamfikia?
je MKAPA NA KIKWETE watafikiwa?maana nao ni MAFISADI
 
Ha ha ha ha

Mnayoyataman hayawezi kuwaaa...

Roho zinawasokota sana lkn mwisho wa siku mtabakia na maumivu zaid...

Hebu tupe chanzo cha taarifa yako tuipitie..

Report ya Takukuru inaonesha kuwa Nssf chin ya Dr Dau ndiyo least corrupt institution in Tz..wao wenyewe wanalijua hilo..



Least corrupt but haisemi not corrupt Dau hana pa kutokea mkuu hesabu maumivu tu
 
Sipati picha hivi huyu kwa mikwanja hii aliyopiga kule panama papers(offshore funds)atakosekana kweli maana kwenye hilo kapu wapo maraisi,government officials huyu anaingia hapo, wake zao watoto wao, na jamaa zao hebu tupate hayo majina twende nayo mstari kwa mstari tuwe na lula tunatiki kuna wakati wanabadilisha jina la mwisho linakuwa la kwanza lazima atapatikana tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom