Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
mbona lowasa hapandishi mahakamani...lowasa fisadi sana yule jamaa...naitaka serikali impandishe mahakamani haraka sana....la sivyo sisi vijana wazalendo tutaandamana hadi ikulu
Magufuli yupo Rwanda kukutana na Kamanda Mkuu wa huko ambaye alikwishasema, 'there is a line, if he crossess ------'
Unapokuwa na rafiki yako lakini rafiki yako ghafla anaamua kuwa rafiki mkubwa wa adui yako, tafsiri yake ni nini? Au anataka kukupa ujumbe gani? Naiona Tanzania na Rwanda, chini ya Kagame na Magufuli watatengeneza one block of leadership and purpose within EAC. Na kwa mbali itaunganishwa na Uganda. Kenya chini ya Uhuru huenda ikawa pembeni.