Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Mnufaika wa mafisadi unaumia sana tunaporudisha mali zetu na kuwashitaki mafisadi mahakamani. Pole.
 
mkuu hii ya dau imekaa vibaya mana ccm ndio huchukua hela hizo nakumbuka kipindi cha 2010 mwz ......marehemu mabina aliuza eka 50 ya shamba kwa zaidi ya 700m kwa nssf kilometa 30 nje ya mji kwa maagizo toka ccm.....yeye alibaki na 400m zingine akaambiwa awape ccm mkoa kwa ajili ya uchaguzi.
Dau ataondoka na wengi kwenye hiyo kashfa
Yaaani...atasema kweli nimeiba ila tumegawana na Flan?!!!
 
Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na ubadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..

Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...

NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.
kwa serikali iliyotangulia hakuna ambaye hatatumbuliwa. Hata mtumbuaji atajitumbua maana naanza yeye ni jipu. safi sana
 
Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na ubadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..

Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...

NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.

Nimesema toka jana kuwa mwanzo sikuelewa Mh.Rais alikuwa ana maanisha nini kusema atafungua Mahakama ya mafisadi. Ukweli ni huu. Ni lazima MAFISADI TRIBUNAL ifunguliwe au ianzishwe ili kuwepo na majaji watakaoshughulikia kesi hizi, on daily basis.Inaonekana zianakuja nyingi tu.Pia yaanzishwe magereza maalumu ya mafisadi ili watumikie hukumu kwa style yao wasijichanganye na wengine. Mwl nyerere aliwahi kuanzisha magereza ya majambazi wakubwa kama vile gereza la Ngerengere na MABANA MKOANI MOROGORO
 
Atakapo kalia lile benchi itakuwa THE BIG SHOW.
 
wagalitia wamewaandama sana vibaragashee
 
Nasubir wapinzan waje waendelee kusema kwamba mafisad yanayotumbuliwa ni vipele...nasubir na Dr dau aitwe kipele/kidagaa tu kwenye ufisadi
Ilikuwaje akateuliwa kuwa balozi au zilezile za kukurupuka
 
Ni sawa lakini uwezo wa hiki chombo cha takukuru wakishafika mahakamani,kesi nyingi wanabwagwa!
 
Jamani huyu si tuliambiwa atakuwa balozi, kumbe yamekuwa hayo tena, mweeeeeeee

lakuambiwa................................................... mie nahisi ilikuwa ni janja ya kumuondoa kikubwa ili msijehisi kaonewa.
 
Naskia ana gorofa lake la gorofa nane lipo kinondoni maeneo ya leaders
 
Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na ubadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..

Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...

NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.

Lete Source mleta uzi la sivyo ni majungu!
 
Kuna ule mgodi wa makaa ya mawe kule kyela mkoani mbeya mbona serikali siisikii kuufuatilia na mwenendo wake au washaususa ? Hapo mwanzo niliwah kusikia kuna kiongozi kajimilikisha mali ya umma ilikuwaje?
Sema wewe ndiyo hukufuatilia ilikuwaje! Mkapa alipopigiwa kelele ilibidi awe mpole aurudishe serikalini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom