Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
wewe unadhani rais kaenda rwanda kutembea tu. Hapana kaenda kupata dozi ya kupambana na mungu watu na bado wakubwa zaidi watapukutika.wewe subiri.

YANGU MACHO NASUBIRIA MATOKEO........

HUKO RWANDA AKIRUDI TUNAOMBA ATUMBUE NA JIPU LA MV DSM, KWANI IMEPOTEA TUNAPATA SHIDA KWENDA BAGAMOYO KUTOKA FERRY.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hizo ngoma zina kinga ya maisha ya kikatiba ya kutoshtakiwa wala kuhojiwa popote na yeyote ndani ya Jamhuri. La muhimu kwa sasa Rais apambane na mafisadi kwa nguvu zote regardless yeye alifanya nini enzi hizo.

Kwa hiyo tibaijuka na chenge nao wanakinga ?
 
Nasubir wapinzan waje waendelee kusema kwamba mafisad yanayotumbuliwa ni vipele...nasubir na Dr dau aitwe kipele/kidagaa tu kwenye ufisadi

kwa magnitude ya wizi unaotajwa kuwa umefanyika (kama kweli ulifanyika), Dau anaweza kuwa ni kipele tu.

na kama ni kipele tu, any prosecution attempt against him itaishia chini ya kapeti soon... unless of course genge husika likubaliane naye kuwa yeye ndiye awe "contracted" scapegoat!
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Nyumba ninuwamuzi wa balaza la MAwaziri -Sumaye
MV DSM - procurement zote hufanywa na taasisi husika, Sumatra kawaulize.
Meli ya Samaki - weakness na leakage za sheria zenu ndo zilisababisha hasara kwa sababu meli ile iliingia sehemu ya Tanzania. Kutokana na lile tulifunguka na kuanza jitihada za kujihami zaidi.
 
Mfa maji haachi kutapatapa
 
Tunamshukuru Mh Rais kwa lipi? Kama mitandao isinge weka wazi haya mambo system yote ilikuwa imesha mlinda. Na ungekuta jamaa sasa ni balozi akiendelea kuula

YAANI MITANDAO NI MUHIMU SANA KATIKA KUREKEBISH NA KUKOSOA. NA NDIO MAANA WALIFIKIA WAKATI MAFISADI WA TANZANIA WAKATENGENEZA SHERIA YA MITANDAO ILI WATU TUSIONGEE.

LAKINI KAMA SIYO MITANDAO YOTE YASINGEJULIKANA.

TUNAOMBA RAIS MAGUFULI AFUTE ILE SHERIA KANDAMIZI YA MITANDAO ILI TUMSAIDIE KUFICHUA MENGI NA UONGOZI WAKE UWEZE KUFANIKIWA KWA MANUFAA YA WATANZANIA NA SIYO WACHACHE KAMA ILIVYO SASA.
 
Nyumba ninuwamuzi wa balaza la MAwaziri -Sumaye
MV DSM - procurement zote hufanywa na taasisi husika, Sumatra kawaulize.
Meli ya Samaki - weakness na leakage za sheria zenu ndo zilisababisha hasara kwa sababu meli ile iliingia sehemu ya Tanzania. Kutokana na lile tulifunguka na kuanza jitihada za kujihami zaidi.
Ingawa na Mimi ni pro Magufuli lakini sahihisha, SUMATRA hahusiki na manunuzi ya meli wala procurement za serikali.
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Kweli mkuu magu alikuwemo kwenye awamu ya NNE enzi ile ya shamba LA bibi na yeye ajisafishe kuna tuhuma nyingi sana
 
Sawa, Serikali ya CCM awamu ya Tano haina undugu na yeyote, ubadhirifu wa fedha za uma ni makosa wacha sheria ifuate mkondo wake, na haki ionekane kwa pande zote.
Magufuli alisema serikali yake hiyo ccm umeandika wewe.
 
Hili lidokita Dau ndio lilikuwa linatupeleka Waterfront kufanya Aptitude test watu 6000 kumbe limeshawaajiri vijana wenye elimu ya Madrasa na Sigda...Nyambafu
 
Kinga inaweza kuondolewa na bunge tukufu kama kuna tuhuma zenye mashiko na kama kuna utashi wa kufanya hivyo
Imani yangu inanituma kwamba kinga ya Kikwete kutoshtakiwa itaondolewa na bunge ndani ya miaka miwili ya kwanza ya JPM.

Na si kumwondolea kinga Kikwete tu isipokuwa mheshimiwa Rais ataifuta kabisa sheria hiyo, sisi tuendelee kumwombea tu kama anavyo tusisitiza.

Na kama Kikwete ataondolewa kinga hiyo sioni kama kuna mwanya atakaocholopokea asiingie Segerea.
 
Mku
Hizo ngoma zina kinga ya maisha ya kikatiba ya kutoshtakiwa wala kuhojiwa popote na yeyote ndani ya Jamhuri. La muhimu kwa sasa Rais apambane na mafisadi kwa nguvu zote regardless yeye alifanya nini enzi hizo.
Mkuu kwani katiba msaafu kama si Leo kesho tu kama wamefanya ulafi takukuru itawahoji tu
 
Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na unadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..

Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...

NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.
Ni kweli,atapata hukumu ya kufagia Amana Hospital.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom