Tetesi: Dr Dau kurudishwa nyumbani kimya kimya!!

Tetesi: Dr Dau kurudishwa nyumbani kimya kimya!!

Dr Dau lazima arudishwe nyumbani haraka sana na uteuzi wake unatakiwa kutenguliwa kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za hizo bilioni zimeliwa.
Vita vya kanisa dhidi ya uislamu na waislamu haitaisha mpaka pale Tanzania itakapotangazwa kuwa nchi ya msalaba
 
Bumbuli Development Iniatiative hawachomoki.... Mr. February nasikia anahaha vibaya sana
Unajua ile ya "Kimambi" haikuwa masihara !! Lakini...wapi anadunda tu! nadhani pia atazidi kudunda tu!
 
Ngamiani unachekesha waziri mkuu wa israel unajua dini yake? maana dini yake inatambua yesu ni mtoto wa zinaa sijui kama wakristo mko hivyo
 
Kuna tetesi kuwa Dau atarudishwa nyumbani muda wowote kuhojiwa na maafisa wa Takukuru .

Pia atatakiwa kuwataja washirika wake waliofanikisha ukwapuaji wa mamilioni pale NSSF

Inasemekana mkuu anataka kujua ukweli kwanza kabla ya kuchukua hatua za kumtumbua.

Inasemekana, inasemekana, inasemekana.

Kwa kusemekana tu, hujambo.

Hovyooo.
 
Kuna upande wanamtafuta Dau kwa kila hali kuliko maelezo... Yaani kwao Dau ni fisadi kuliko Lowasa...

Dau hamia Chadema.. Utakua shujaa mda si mrefu
 
Honourable Ambassador Dr Ramadan Dau Hakamatiki Hata Kidogo

Mtasema DPP,TAKUKURU,TISS,POLICE,
Mkulu Kapewa Yote Ataamua Mwenyewe
 
Kuna tetesi kuwa Dau atarudishwa nyumbani muda wowote kuhojiwa na maafisa wa Takukuru .

Pia atatakiwa kuwataja washirika wake waliofanikisha ukwapuaji wa mamilioni pale NSSF

Inasemekana mkuu anataka kujua ukweli kwanza kabla ya kuchukua hatua za kumtumbua.
Tulieni kwanza!!Mshirika mkubwa wa NSSF ni serikali ya CCM.Srikali ya CCM itueleze ilivyonufaika na uongozi mbovu wa NSSF.Haiwezekani yote hayo yatokee bila kengele kulia mahali na kama kengele ililia nani aliinyamzisha?
Wanajuana vilivyo na harudishwi mtu hapa!!
 
Vip
Kuna tetesi kuwa Dau atarudishwa nyumbani muda wowote kuhojiwa na maafisa wa Takukuru .

Pia atatakiwa kuwataja washirika wake waliofanikisha ukwapuaji wa mamilioni pale NSSF

Inasemekana mkuu anataka kujua ukweli kwanza kabla ya kuchukua hatua za kumtumbua.
Vipi kuhusu wale wa escrow na PAP?....Nao watashukiwa lini na mkulu?
i
 
Ila jamani waafrika ni wabishi, yani huyu Dau kusemwa kote huku hata kama ni ukwel au uongo haumwi hata kapresha au kisukari, ingekuwa nchi zilizoendelea angekuwa ameshajiuzulu huo ubalozi 🙄🙄
 
Back
Top Bottom