Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Lakini hilo halibadilishi ukubwa wa eka. Eka ya kujenga ghorofa ni sawa tu na heka ya kujenga kiduku...wewe si ulikua unataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule ndomana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hilo halibadilishi ukubwa wa eka. Eka ya kujenga ghorofa ni sawa tu na heka ya kujenga kiduku...wewe si ulikua unataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule ndomana
Mbona inasemekana Dau hausishwi na Ufisadi? au ndio kusemekana pia na uhovyooo? Kama kapiga pesa kapiga tu Maandishi yapo na Statements ya Bank huwa hazidanganyi...Inasemekana, inasemekana, inasemekana.
Kwa kusemekana tu, hamjambo.
Hovyooo.
Unataka tujadili huu uharo wako?Mbona inasemekana Dau hausishwi na Ufisadi? au ndio kusemekana pia na uhovyooo? Kama kapiga pesa kapiga tu Maandishi yapo na Statements ya Bank huwa hazidanganyi...
Kinachomponza Dau ni dini yake ya Uislam hamna kingine angekuwa mwana kwaya wala usingesikia hizi kelele.Natamani kujua Dr Dau ameitoa wapi NSSF kabla yake.. Natamani kumjua pia mtangulizi wake aliifanyia nini NSSF. Lakini natamani kuona report kamili ya tuhuma za Hon Dau sio tetesi kila siku.
We sema ni Uharo japo uharo ndio huyo Mwizi... Unalo hilo... Mzee wa Msoga ana kinga la sivyo mngeimba nyimbo zenu za kigoma karuba yeeeUnataka tujadili huu uharo wako?
Bado tu unaandika uharo?We sema ni Uharo japo uharo ndio huyo Mwizi... Unalo hilo... Mzee wa Msoga ana kinga la sivyo mngeimba nyimbo zenu za kigoma karuba yeee
Mtetea wezi nae ni Mwizi tu Period...Bado tu unaandika uharo?