Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
hivi nkanga chief yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kuiongoza hii nchi lazima ujitoe ufahamu kwanza manake usipo angalia unaweza kumtumbua hata mzazi wako hii nchi watu walikuwa wezi sana daa namwonea huru Rais wangu anasafari ndefu sana maombi yanahitajika kwa kweli.Mkuu dau na maofisa wote waliosimamishwa Nssf walishahojiwa kinachosubiriwa ni ripoti baada ya kufanya ukaguzi/uchunguzi mpya,ishu hapa syo dege tu Bali kuna tuhuma nyingi vijiweni viwanja hewa,can u imagine uongozi mpya ulienda kutembelea shamba LA kuwekeza kulima miwa walipowasiliana na wenyeji kutaka waongezewe eneo wakaambiwa lazima wawasiliane kwanza na mwenye eneo kuuliza mwenye eneo nani wakaambiwa ni Nssf,na mwenyeji alikuwa hajui anaongea nao ni viongozi toka Nssf,na hilo shamba halimo ktk register ya assets za shirika.ukiambia madudu yote ya Nssf utafariki mkuu
Tunaisha...deen yetuInasemekana, inasemekana, inasemekana.
Kwa kusemekana tu, hujambo.
Hovyooo.
Aisee umenigusa kusema ukweli nilishachoka na hii nchi especially kama ulishakaa nje miaka mingi unaweza ona tabu...wezi wa serikali wangesema wa seize Mali zao zote na zitaifishwe zikafanyie kazi zingine.whats the point unaiba na kufukuzwa tu...serikali chukuwa mali zao zooteeeeeee pesa zikipatikana tukafanyie mambo ya maana. Na wakifanya hivyo watakuta wengi mno wameibaBumbuli saccos ni kina nani? hii nchi kila mfanya kazi wa umma mwenye kacheo kidogo ni mwizi sijui ni kwa nini? kikwete aliizinisha wizi nchini kama kazi ya kujipatia kipato kwa wafanyakazi wa umma. Na nchi hii Tanzania wasomi ndo wanaliangamiza Taifa, hawako pale kusaidia Taifa wako pale kuiba tu,wasomi wanatakiwa wajue kuwa ukitaka pesa za haraka na nyingi ni kufanya biashara sio kuiwaibia watanzania, binafsi naona katika nchi za Afrika mashariki Tanzania tunaongoza kwa ufisadi kwa sasa, maana kila sehemu ni wizi wizi tu,sio wanasiasa, sio watumishi wa umma , imefikia wakati serikali itoe adhabu kali kwa hawa mafisadi, ikibidi tuanze kuwanyoga ,tutoe adhabu kali ili liwe fundisho kwa kizazi hiki na kichajo, lasivyo watu hawataongopa rushwa, watachukulia ni swala la kawaida ,watu wanaiba wanatumia hizo pesa kwenda mahakamani kuendesha kesi na wanashinda. Ifike mahali hata maafisa wa Takururu/DPP waanze kuchunguzwa na kupewa adhabu kali wanaposhindwa kesi hizi za ufisadi. Huu mchezo wa kuwasimamisha au kuwafukuza kazi bila kufunga au kunyonga watu hatuwezi kufika, hakuna mtu atakae ogopa rushwa kwa mchezo huu tunaocheza kwa sasa.
Fafanua Kidogo Mkwepa Ushuru, no Mkwepa Kodi.Zitto kabwe naye akae mkao wa kutoa maelezo
hahahaaha mr...!!!????Bumbuli Development Iniatiative hawachomoki.... Mr. February nasikia anahaha vibaya sana
ipi sio hipiSerikali hipi hiyo?
Naye yumo?Bumbuli Development Iniatiative hawachomoki.... Mr. February nasikia anahaha vibaya sana
Hakiyamungu hadi kitanzi ndio watakoma.Bumbuli saccos ni kina nani? hii nchi kila mfanya kazi wa umma mwenye kacheo kidogo ni mwizi sijui ni kwa nini? kikwete aliizinisha wizi nchini kama kazi ya kujipatia kipato kwa wafanyakazi wa umma. Na nchi hii Tanzania wasomi ndo wanaliangamiza Taifa, hawako pale kusaidia Taifa wako pale kuiba tu,wasomi wanatakiwa wajue kuwa ukitaka pesa za haraka na nyingi ni kufanya biashara sio kuiwaibia watanzania, binafsi naona katika nchi za Afrika mashariki Tanzania tunaongoza kwa ufisadi kwa sasa, maana kila sehemu ni wizi wizi tu,sio wanasiasa, sio watumishi wa umma , imefikia wakati serikali itoe adhabu kali kwa hawa mafisadi, ikibidi tuanze kuwanyoga ,tutoe adhabu kali ili liwe fundisho kwa kizazi hiki na kichajo, lasivyo watu hawataongopa rushwa, watachukulia ni swala la kawaida ,watu wanaiba wanatumia hizo pesa kwenda mahakamani kuendesha kesi na wanashinda. Ifike mahali hata maafisa wa Takururu/DPP waanze kuchunguzwa na kupewa adhabu kali wanaposhindwa kesi hizi za ufisadi. Huu mchezo wa kuwasimamisha au kuwafukuza kazi bila kufunga au kunyonga watu hatuwezi kufika, hakuna mtu atakae ogopa rushwa kwa mchezo huu tunaocheza kwa sasa.
Hakuna kitu kama hicho. Kama kawaida yetu watanzania, tunaanziwa issue , basi kila mmoja anatengeneza story yake na kuipachika katika hiyo issue, na kila mmoja jee ndiye ajuaaye. We are the most evil and jelousy lot in Africa, tumeshika number moja kwa karne kadha na hakuna wakutufikia.Mkuu dau na maofisa wote waliosimamishwa Nssf walishahojiwa kinachosubiriwa ni ripoti baada ya kufanya ukaguzi/uchunguzi mpya,ishu hapa syo dege tu Bali kuna tuhuma nyingi vijiweni viwanja hewa,can u imagine uongozi mpya ulienda kutembelea shamba LA kuwekeza kulima miwa walipowasiliana na wenyeji kutaka waongezewe eneo wakaambiwa lazima wawasiliane kwanza na mwenye eneo kuuliza mwenye eneo nani wakaambiwa ni Nssf,na mwenyeji alikuwa hajui anaongea nao ni viongozi toka Nssf,na hilo shamba halimo ktk register ya assets za shirika.ukiambia madudu yote ya Nssf utafariki mkuu
Kwa nini ajue ukweli wa huyu wakati wengine anatumbua tu? Huyu ni untouchable?Kuna tetesi kuwa Dau atarudishwa nyumbani muda wowote kuhojiwa na maafisa wa Takukuru .
Pia atatakiwa kuwataja washirika wake waliofanikisha ukwapuaji wa mamilioni pale NSSF
Inasemekana mkuu anataka kujua ukweli kwanza kabla ya kuchukua hatua za kumtumbua.
Inasemekana, inasemekana, inasemekana.
Kwa kusemekana tu, hujambo.
Hovyooo.