Tetesi: Dr Dau kurudishwa nyumbani kimya kimya!!

Lolote linawezekana
Lengo nikuijenga Tanzania mpya
 
Haponi MTU msimu huu, utachekewa na huku unachunguzwa ukibainika unaweza kufa kwa presha pindi udhalimu wako utakavyo sambaa mitandaoni.
Udhalimu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu haya Maoni hayaonekani vizuri na ni ngumu mno kwa mtu kusoma kila adia ya kila uzi. Anzisha uzi wake maana yapo kizalendo sana, ili yaonekane, haya maoni yangu lakini
 
Huyu mzee hajakaa kifisadi, ila labda kama anajusika ni sababu yeye alikuwa bosi hivyo anawajibika sababu ya wa chini yake!!
 
Hamna kitu hapo kwani kwa Lugumi, Escrow, UDA kuna nini kimefanyika?
 
Kama unakumbuka siku ile ya uzinduzi wa daraja la Nyerere Mh. Alimsifia Dau kinyume na watu walivyokuwa wanawaza ngoja tuone part two kama star atapona mbele ya jambazi.
 
Hakuna jiwe litakaloachwa bila kugeuzwa! Waliotumia nafasi zao vibaya wote wanayo ya kutujibu! Mahakama za mafisadi zifanya kazi yake!
 
Kama unakumbuka siku ile ya uzinduzi wa daraja la Nyerere Mh. Alimsifia Dau kinyume na watu walivyokuwa wanawaza ngoja tuone part two kama star atapona mbele ya jambazi.
Usiamini Kwenye Ccm MkubwA
Tena Wanakufa Na Wauaji Wanajulikana Ila Kimya
Container Za Pembe Zinakamatwa Ughaibu Halafu.....
 
Usiamini Kwenye Ccm MkubwA
Tena Wanakufa Na Wauaji Wanajulikana Ila Kimya
Container Za Pembe Zinakamatwa Ughaibu Halafu.....
Uzuri mimi sio mtanzania ngoja nirudi nyumbani wiki ijayo.
 
Uzur wa Magu huwa haangalii sura.Sitashangaa akirudishwa
 
Tutampokea Airport Kwa Furaha Maana Haiwezekani
Aipe Pesa Newcastle United Hapa Home Hali Mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…