Tetesi: Dr Dau kurudishwa nyumbani kimya kimya!!

Aiseee kuiongoza hii nchi lazima ujitoe ufahamu kwanza manake usipo angalia unaweza kumtumbua hata mzazi wako hii nchi watu walikuwa wezi sana daa namwonea huru Rais wangu anasafari ndefu sana maombi yanahitajika kwa kweli.
 
Hakuna jipya hapo angekuwa ni DC,DED,RAS,DAS and the like angetumbuliwa......ya LUGUMI vipi jamaa si wadunda tu!!
 
Aisee umenigusa kusema ukweli nilishachoka na hii nchi especially kama ulishakaa nje miaka mingi unaweza ona tabu...wezi wa serikali wangesema wa seize Mali zao zote na zitaifishwe zikafanyie kazi zingine.whats the point unaiba na kufukuzwa tu...serikali chukuwa mali zao zooteeeeeee pesa zikipatikana tukafanyie mambo ya maana. Na wakifanya hivyo watakuta wengi mno wameiba
 
Nilisema from day one kuwa Dau atalipiwa aibu ya mwaka. Chezea wataalam wa kulipiza visasi.
 
Hakiyamungu hadi kitanzi ndio watakoma.
 
hapo mkulu atakuwa amejijengea jina kimataifa zaidi
 
Hakuna kitu kama hicho. Kama kawaida yetu watanzania, tunaanziwa issue , basi kila mmoja anatengeneza story yake na kuipachika katika hiyo issue, na kila mmoja jee ndiye ajuaaye. We are the most evil and jelousy lot in Africa, tumeshika number moja kwa karne kadha na hakuna wakutufikia.

Hoja za NSSF hakuna jipya tulishalisikia siku njingi. Cha kushangaza yote haya yalisemwa sana, kwa nini siku zote hizo halikushugulikiwa, leo Dau kapewa ubalozi limeanza upya.

Hapa pana kitu kuna visasi vinajengwa na naona sasa vimekamilika, na leo wakimdhalilisha Serekali yetu itaabika na kuonekana ina siasa za chuki na visasi.

Mheshimiwa Raisi jichunge na hili, kama nia ni kumpata ZITTO Iku njia nyingi sana, lakini hili la kutaka kuua ndege wawili kwa jiwe moja linaleta sura mbaya sana.

Na pia tujiulize huyu mkurugenzi wa idara ya upelelezi aliyetenguliwa leo, ni kwa sababu gani? Jee sababu ni Dau au Zitto??
 
Kwa nini ajue ukweli wa huyu wakati wengine anatumbua tu? Huyu ni untouchable?
 
Hapa haponi mtu, wote kina Lowasa wanafuatia na Richmond yao. Ufissdi uliotukuka wa kwenda kutukodishia majenerator na kufunga mikataba mibovu ambayo inatufunga kwa kulipa mamilioni ya pesa eitha wamewasha au hawajawasha, wakati tungeweza kununua na kuokoa ma trilioni.
 
ni ndoto ya mchana serikar ya ccm kumshitaki dr dau hawa ni sehem yao ukiona unapewa nafasi kwenye haya mashirika ya umma basi una extra quality sio kiraisi raisi tu mifuko ya ifadhi ya kijamii ni vichaka sana.vya wakubwa kufanya mambo yao serikar inadaiwa kias gan na mifuko hiyo?? kama lugumi ,iptl ,na magumashi mengine yamepotezewa basi watatia pamba na ilo kwa faida ya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…