zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sababu walikua na alternative control systems..... Hawakuachia kila kitu. Ni sawa na Kabudi alivyosema eti tunalilia katiba ilihali Uingereza haina written constitution!!!Ila cha kushangaza, wale hawabezwi wala kutukanwa.
Hii nchi ya ajabu sana.... Umewahi fanya utafiti wewe?? Yaani unaenda hoji kuhusu Mortality rate ya ugonjwa fulani eti badala uende kwa mkemia mkuu au katibu mkuu wizara ya afya eti uhoji jirani??Utafiti mdogo tu ww ndugu zako wa ngapi wamekufa kutoka 16 Mar 2020 tuliporeport mgonjwa wa kwanza ? Kingine majirani zako wa ngapi wamekufa au umeudhuria misiba mingapi ukilinganisha na miaka iliyopita
Wewe!..Hii nchi ya ajabu sana.... Umewahi fanya utafiti wewe?? Yaani unaenda hoji kuhusu Mortality rate ya ugonjwa fulani eti badala uende kwa mkemia mkuu au katibu mkuu wizara ya afya eti uhoji jirani??
Hizi ndio reasoning za CCM kabisa eti mpka shida ikupate ndio uprove..... Nenda Muhimbili omba takwimu ndio ufanye tafiti objective. Makete kuna UKIMWI zaidi ya 12% ila Pemba ni 1%.... Ssa kwa utafiti wa namna hii kuna mpemba ataamini kuna Ukimwi?
Kwahiyo unataka wawe wanaungwa mkono tu hata kwa mambo ya hovyo?Kwahiyo Dr.Bell sio beberu tena?? Kesho akija na utafiti kwamba ushoga ni haki sababu ni genetical/hormonal je utaunga mkono??
Acheni unafiki CCM
Huitaji takwimu za vifo kitaifa kujua ukweli wakati unaishi Tanzania. Anza nyumbani kwako, majirani, mtaani na ndugu zako, popote walipo nchini, kupata takwimu ya waliokufa kwa koronaKama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Sababu walikua na alternative control systems..... Hawakuachia kila kitu. Ni sawa na Kabudi alivyosema eti tunalilia katiba ilihali Uingereza haina written constitution!!!
Ni kwamba kuna mfumo mbadala haimaanishi hakuna kabisa safety measures. So usilinganishe na TZ
Unaweza kufanya research rahisi kwenye familia yako na ndugu zakoKama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Swali la msingi hili!Kama takwimu za COVID hazikutolewa, huyo mchambuzi anajuaje wangapi walikufa au hawakufa na COVID?
Acha utoto wewe hv utafiti gani wa kawaida ambao mtu wa kawaida anaweza fanya? Zaidi ya niliosema mm? Pili hv unaweza ficha vifo? hyo midgree yenu inawasaidia nini? Ni watanzania wangapi wana access na MNH tafiti ndogo tu unaweza fanya mwenyewe ww umepoteza ndugu wangapi toka first victim wa corona Tanzania je umeenda misiba mingapi ya majirani au jamaa zako toka Corona ilipotangazwa kulinganisha na miaka mingine NK vifo vilikuwepo kabla ya CoronaHii nchi ya ajabu sana.... Umewahi fanya utafiti wewe?? Yaani unaenda hoji kuhusu Mortality rate ya ugonjwa fulani eti badala uende kwa mkemia mkuu au katibu mkuu wizara ya afya eti uhoji jirani??
Hizi ndio reasoning za CCM kabisa eti mpka shida ikupate ndio uprove..... Nenda Muhimbili omba takwimu ndio ufanye tafiti objective. Makete kuna UKIMWI zaidi ya 12% ila Pemba ni 1%.... Ssa kwa utafiti wa namna hii kuna mpemba ataamini kuna Ukimwi?
Usiwe mpofu kama sio mazuri ya awamu ya nne ungewezaje kua na uchumi wa leo.Basi wachumi wanaweza kukubaliana na mimi kua msingi wa uchumi uliojengwa na awamu ya nne uliiwezesha awamu ya Tano kuja na projects nyingi.Uchumi haujengwa overnight is a process.Dah Tanzania tumepoteza Rais tumebaki na kiongozi tu anaeongoza awamu ya sita lakini kwa akili na mawazo ya awamu ya 4 😢😢😢
Inasemekana vifo vilivyotokea kwenye janga la Corona...6% ni Covid, 94% walikuwa wanamagonjwa mengine...sasa hao 94% utasema ni Corona?...takwimu zipo ndio maana walifanya maamuzi magumu yakuendelea kuchapa kazi baada yakuweka mambo kwenye mizani nakuchagua fungu lililo jema ....hio ndio faida ya kuwa na Raisi anaeumiza kichwa kutatua changamoto..wazungu wanamuheshimu kwa hili atakumbukwa alivyopambana na hili janga na alivyochallenge vipimo mpaka matumizi ya tiba mbadala...alitupenda watanzania, aliipenda Tanzania kwa dhati kutoka rohoni...RIP JPMHilo ndiyo swali linatakiwa kujibiwa na wote wanaoshabikia propaganda za Mwendazake. Huwezi kuwa na valid conclusion kama huna takwimu zozote za waliokufa
Mpumbavu tu yule kaidharau COVID 19 na haikumkopesha kama ilivyomfanya NKURUNZINZA. Wajinga endeleeni kumuita shujaaInasemekana vifo vilivyotokea kwenye janga la Corona...6% ni Covid, 94% walikuwa wanamagonjwa mengine...sasa hao 94% utasema ni Corona?...takwimu zipo ndio maana walifanya maamuzi magumu yakuendelea kuchapa kazi baada yakuweka mambo kwenye mizani nakuchagua fungu lililo jema ....hio ndio faida ya kuwa na Raisi anaeumiza kichwa kutatua changamoto..wazungu wanamuheshimu kwa hili atakumbukwa alivyopambana na hili janga na alivyochallenge vipimo mpaka matumizi ya tiba mbadala...alitupenda watanzania, aliipenda Tanzania kwa dhati kutoka rohoni...RIP JPM
Ulimpima?Mpumbavu tu yule kaidharau COVID 19 na haikumkopesha kama ilivyomfanya NKURUNZINZA. Wajinga endeleeni kumuita shujaa
Kuna dada mmoja mlokole yupo Tegeta. Alikuwa anamsifia Magufuli kuwa kamaliza Corona Tanzania. Mwaka jana mwezi June/Julay mama yake na bibi yake walikufa kwa Corona. Walipishana siku mbili.
Hadi leo hataki kumsikia Magufuli.