Wakati mwingine mimi huwa najiuliza inakuwa vipi mtu afufue reli ya Arusha to Moshi, Tanga to Dar, Aanzishe miradi mikubwa ya ujenzi wa reli, bwawa la umeme, ujenzi wa madaraja, ujenzi wa meli na vivuko ujenzi wa stendi na masoko kila mkoa, awaachie machinga uhuru wa kufanya biashara, ahamishie serikali Dodoma kwa ajii ya kucreate opportunity mpya za kibiashara halafu leo linaibuka kundi linadai eti ajiri zilikuwa hakuna.
Kwa hali ndio maana wa Afrika tutaendelea kudharaulika duniani kote, yaani hatupendi kujiamini na kujikubali, akitokea mtu miongoni mwetu anayetaka kutufanya tujiamini na tusonge mbele sisi tunamuona kama ni kichaa tunasahau hata huko ulaya maendeleo hayakuja kwa kubembelezana.