Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mboga mboga.Ni wa chama gani vile?🤔
Ndiyo maana.Ni kama yule aliyesoma taarifa za wizara yake bungeni akiwa bwiii hadi akatolewa uwaziri.Nadhani anaitwa The Jackal Carlos Pestle Mtwangio.Mboga mboga.
Siasa mchezo mchafuKweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni.
Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
View attachment 2994478
Yule Jamaa alikuwa anaumwa stroke ongea yake ipo hivyo nadhani ile aliingizwa king.Ndiyo maana.Ni kama yule aliyesoma taarifa za wizara yake bungeni akiwa bwiii hadi akatolewa uwaziri.Nadhani anaitwa The Jackal Carlos Pestle Mtwangio.
DuhMnataka waziri Dkt. Gwajima D afanye nini kuhusu ushoga?
Sio kazi ya Gwajima kupambana na ushoga. Sheria zipo wazi na zinafanya kazi.
Kuna tofauti kubwa kati ya ushoga na ulawiti. Kazi ya Gwajima inaishia kwenye kulinda watoto dhidi ya ulawiti BASIII.
Huku kwenye ushoga tuachie sisi. Hayawahusu.
Mtu mzima akiamua mwenyewe kufumuliwa kijambio chake hapaswi kuulizwa swali na paka yoyote mwenye mkia.
Hata afande wa cheo chochote haruhusiwi kunusa makalio ya watu wala kuingilia uamuzi wa mtu mzima kuzagamuliwa kijambio chake. Sio afande wala mtu yeyote anayeruhusiwa kukagua matako ya mtu yeyote katika nchi hii.
Kijambio cha mtu mzima ni mali yake mwenyewe na ana haki ya kukifanya vile venye anataka.
Hivi kweli mumuone mwenzenu ana changamoto kiafya mumuachie kazi nzito ninyi mtulie tu mnamuangalia?Naibu waziri na wasaidizi wao wengine wasichukie hatua?Paralysis ilianzia kwenye podium?Yule Jamaa alikuwa anaumwa stroke ongea yake ipo hivyo nadhani ile aliingizwa king.
Siku hizi una jina tamu balaa 🥰🥰🥰Duh
Ila nakazia.
Hivi kweli mumuone mwenzenu ana changamoto kiafya mumuachie kazi nzito ninyi mtulie tu mnamuangalia?Naibu waziri na wasaidizi wao wengine wasichukie hatua?Paralysis ilianzia kwenye podium?
NB;Sijakubaliana nawe.