Pre GE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni.

Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
 
Mnataka waziri Dkt. Gwajima D afanye nini kuhusu ushoga?

Sio kazi ya Gwajima kupambana na ushoga. Sheria zipo wazi na zinafanya kazi.

Kuna tofauti kubwa kati ya ushoga na ulawiti. Kazi ya Gwajima inaishia kwenye kulinda watoto dhidi ya ulawiti BASIII.

Huku kwenye ushoga tuachie sisi. Hayawahusu.

Mtu mzima akiamua mwenyewe kufumuliwa kijambio chake hapaswi kuulizwa swali na paka yoyote mwenye mkia.

Hata afande wa cheo chochote haruhusiwi kunusa makalio ya watu wala kuingilia uamuzi wa mtu mzima kuzagamuliwa kijambio chake. Sio afande wala mtu yeyote anayeruhusiwa kukagua matako ya mtu yeyote katika nchi hii.

Kijambio cha mtu mzima ni mali yake mwenyewe na ana haki ya kukifanya vile venye anataka.
 
Duh

Ila nakazia.
 
Yule Jamaa alikuwa anaumwa stroke ongea yake ipo hivyo nadhani ile aliingizwa king.
Hivi kweli mumuone mwenzenu ana changamoto kiafya mumuachie kazi nzito ninyi mtulie tu mnamuangalia?Naibu waziri na wasaidizi wao wengine wasichukie hatua?Paralysis ilianzia kwenye podium?
NB;Sijakubaliana nawe.
 
Uliyeandika wewe na wenzako waliokuelewa swali lako ndio hamjaelewa. Hmna alichokosea. Na hapo ameongea kama mtu ambae hakutaka kuongea juu ya swala husika maana tayari kapambana kuonyesha uwigo wa swala hilo. Ila bado watu hawaelewi.
 
Hivi kweli mumuone mwenzenu ana changamoto kiafya mumuachie kazi nzito ninyi mtulie tu mnamuangalia?Naibu waziri na wasaidizi wao wengine wasichukie hatua?Paralysis ilianzia kwenye podium?
NB;Sijakubaliana nawe.

Kitwanga anakunywa maji Ila jamaa siku ile alikuwa sober ni ugonjwa tu ulimsibu.
 
Back
Top Bottom