Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

Na wewe rafiki nani alikuambia hivyo huwa vinasubiriwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvisubiri. Na wewe kwani umezaliwa 2000 na ngapi?
Mheshimiwa natamani kukuona kwenye ulingo wa Siasa maana watu aina yako wamebakia wachache hususani kwenye chama chako.
Mungu akutangulie
 
Form hachukui nadhani anaunga mkono NRNE
20250612_190153.jpg
Usimtie Majaribuni Mheshimiwa Japo Chini Ya Uvungu Wa Moyo Wengi Wanaikubali Hii
 
Back
Top Bottom