super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Dorothy hawezi siasa za kwenda kuwahonga Wajumbe.
Usichukue mh mwendo ni NRNENa wewe rafiki nani alikuambia hivyo huwa vinasubiriwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvisubiri. Na wewe kwani umezaliwa 2000 na ngapi?
Kile Chama Sasa Hivi Kimepoteza Mvuto Japo Watu Wake Wachache TunawakubaliIla angechukua form nadhani katika list yangu ya mawaziri bora zaidi na yeye yumo
Siasa Zile Wanaziweza MabumundaDorothy hawezi siasa za kwenda kuwahonga Wajumbe.
Mh. Katukimbia naonaKile Chama Sasa Hivi Kimepoteza Mvuto Japo Watu Wake Wachache Tunawakubali
Kama Mheshimiwa Hana Woga, Hofu Popote Anajibu Hoja Taratibu
urudi nyumbani tu nawewe utulieNani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayew eza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?
HAWEZI TOBOAMheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani?
NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
Anaweza sana kutoboa. Kuna vilaza kibao wanaenda kutoboa, ndo ashindwe Dr.Dorothy? Sema huyu Madam hapendi makuu na zile siasa za maji taka.HAWEZI TOBOA
Yeye bahili sana🤣🤣Anaweza sana kutoboa. Kuna vilaza kibao wanaenda kutoboa, ndo ashindwe Dr.Dorothy? Sema huyu Madam hapendi makuu na zile siasa za maji taka.
Hataki kujiaibisha kwa mambo ya hovyo. Namshangaa sana Salim Kikeke na heshima yote ile aliyojijengea miaka mingi.Yeye bahili sana🤣🤣
😄😂🤣😂🤣😄😂🤣😂😂🤣Anajua Hamchelewi KukinukishaMh. Katukimbia naona
Hatimaye covid 19 ikamfyeka mkuu mwenyewe na kale ka circle ka pale juu. Ka mwanzo kabisaHaa Dawa Ikaletwa Na Ndege Wakuu Wakanywa Hadharani Kuuaminisha Umma Kuwa Sasa Dawa Tunayo
Hahahaha Mhe jamani uchaguzi wa 1995 tayari nilikuwa nimeshazaliwa hivyo mimi ni mzee sahivi, mbona hujagombea Mhe? kazi nzuri kwako unajitahidi pia huna dharau hata raia wanakukubali snNani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?
Heshima iwepo basi hapa wa 2005 ni Lucas Mwashambwa ndiyo maana hana akiliVitoto vya afu mbili na tano hivyo Mh vitajulia wapi😂
Ukweli ni mchapakazi, kwa awamu ya 6 ndiyo Waziri pekee namkubali maybe hana tamaa ya madaraka kama yale majangili.Ila angechukua form nadhani katika list yangu ya mawaziri bora zaidi na yeye yumo
Hajagombea hana tamaaSingida mashariki