Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
IliwapukutishaHatimaye covid 19 ikamfyeka mkuu mwenyewe na kale ka circle ka pale juu. Ka mwanzo kabisa
Kijazi twende
IliwapukutishaHatimaye covid 19 ikamfyeka mkuu mwenyewe na kale ka circle ka pale juu. Ka mwanzo kabisa
Kijazi twende
Walijaribu kushindana na science ili wawe maarufu. Hivi unawezaje kwenda na ukweli wa dunia halafu ukawe salama!?Iliwapukutisha
Niwe mkweli namkubali sn huyu maza ni hard worker sn, ukilinganisha na mfumo ovu tulionao huwa namuona anajishusha sn, pia ni mfuatiliaji mzuri sn tumpe maua yake, Mwisho ni mtu asiye na tamaa kabisa.Form hakuchukua nadhani anaunga mkono NRNE
Sure, pia ni mtu wa kujishusha sn hana makuuDkt. Gwajima D nje ya maisha ya siasa madame uko vizuri......
Napenda na nakupenda pia mi nakutakia kila lililo jema.! Usiache kutupostia insta kupitia wewe Kuna vitu tunajifunza sana.
Ilikua na tatizo?Hahaha. Naikumbuka dawa ya covid toka Madagascar 🇲🇬
Iliwaponya wangapi??Ilikua na tatizo?
Kwani hii ilishafanyiwa majaribio?Hahaha. Naikumbuka dawa ya covid toka Madagascar 🇲🇬
Sijui kwakweli ila dawa ililetwa toka madagaskaKwani hii ilishafanyiwa majaribio?
Hisia zangu zinaniambia nje ya siasa ana enjoy life.Sure, pia ni mtu wa kujishusha sn hana makuu
Atasema mwenyewe!Mheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani?
NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
Sasa mama kwanini hujachukua?ViGenF nini?😥
Njaa ya madaraka!Hataki kujiaibisha kwa mambo ya hovyo. Namshangaa sana Salim Kikeke na heshima yote ile aliyojijengea miaka mingi.
Mama ana mahaba sijawahi kuona.Dkt. Gwajima D nje ya maisha ya siasa madame uko vizuri......
Napenda na nakupenda pia mi nakutakia kila lililo jema.! Usiache kutupostia insta kupitia wewe Kuna vitu tunajifunza sana.
Yupo upande wa wananchiNiwe mkweli namkubali sn huyu maza ni hard worker sn, ukilinganisha na mfumo ovu tulionao huwa namuona anajishusha sn, pia ni mfuatiliaji mzuri sn tumpe maua yake, Mwisho ni mtu asiye na tamaa kabisa.
Kabisa uko sahihi!!! Huyu mama na baba yetu yaani!!!! Mfano mzuri wa maisha ya ndoa.Mama ana mahaba sijawahi kuona.
Huyu ndiye mfano wa ndoa.
Mwanamke mwenye heshima kwa mume na mahaba, huyu mama apewe tuzo.
Dkt. Gwajima D