Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kwenye siasa kuna pesa ndefuHisia zangu zinaniambia nje ya siasa ana enjoy life.
Kwenye siasa kuna pesa ndefuHisia zangu zinaniambia nje ya siasa ana enjoy life.
Sema mfumo ndiyo umeoza hawezi kufanya chochoteYupo upande wa wananchi
Ili iwejeMheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani?
NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
Umemaliza kuvuna mahindi?.. nataka kuja kukusaidia kupukuchuaNani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?
Utakuwa ni upumbavu wa Hali ya juu na dharau kubwa shilole kurithi mikoba ya huyu mama..Shilole kumpokea uwaziri Dkt Gwajima
I real love her
Chunguza Shilole ana hadhi gani nchini. Sio kubisha kama ponguaniUtakuwa ni upumbavu wa Hali ya juu na dharau kubwa shilole kurithi mikoba ya huyu mama..
Dogo mshamba wa mastori ya townChunguza Shilole ana hadhi gani nchini. Sio kubisha kama ponguani
Akikujibu unitagSasa mama kwanini hujachukua?
Mbona tunakuhitaji?
Nenda kachukue form then utaona kama hao ni Mabumunda??Siasa Zile Wanaziweza Mabumunda
Huyu ni waziri bora zaidi kwenye awamu ya 6. Ni kweli hana tamaa kabisa... huwezi kumfananisha na wale wahuni wa upinzani wanaopora raia hela zao kitapeli kupitia kinachoitwa TONETONE.Niwe mkweli namkubali sn huyu maza ni hard worker sn, ukilinganisha na mfumo ovu tulionao huwa namuona anajishusha sn, pia ni mfuatiliaji mzuri sn tumpe maua yake, Mwisho ni mtu asiye na tamaa kabisa.
We ni kati ya mawazir ambao mmekuwa mkijibu hoja kwa ustadi mkubwa sana hata mlipotumiwa sms mbaya..ViGenF nini?
UWT naona mnapiga pesa za uchaguzi fake sahiviHuyu ni waziri bora zaidi kwenye awamu ya 6. Ni kweli hana tamaa kabisa... huwezi kumfananisha na wale wahuni wa upinzani wanaopora raia hela zao kitapeli kupitia kinachoitwa TONETONE.
Kushinda ubunge hamna hamna uwe na 1 billionNenda kachukue form then utaona kama hao ni Mabumunda??
Utawaheshimu
Huwa nakukubali sana mheshimiwa.Nani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?
Ni ngumu kujua wangapi walipona na wangapi pia walikufa but kitakwimu Tanzania haikiathirika sana na vifo vya corona ukilinganisha na nchi zilizo tuzunguka kama Uganda na Kenya and this is why hata uchumi wetu uliendelea kukua kwa 7% even during pandemic na hizi sio data za serikali, ni IMF na WB so binafsi siwezi kubeza hiyo dawa from MadagascarIliwaponya wangapi??