SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Y?Mheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani?
Nani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?Hataki hajachukua anataka vile viti 10
Na wewe rafiki nani alikuambia hivyo huwa vinasubiriwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvisubiri. Na wewe kwani umezaliwa 2000 na ngapi?Anasubiri ubunge wa nafasi 10 za madam president
Vitoto vya afu mbili na tano hivyo Mh vitajulia wapiπNani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?
ViGenF nini?π₯Vitoto vya afu mbili na tano hivyo Mh vitajulia wapiπ
Hahaha. Naikumbuka dawa ya covid toka Madagascar π²π¬Hataki hajachukua anataka vile viti 10
Haa Dawa Ikaletwa Na Ndege Wakuu Wakanywa Hadharani Kuuaminisha Umma Kuwa Sasa Dawa TunayoHahaha. Naikumbuka dawa ya covid toka Madagascar π²π¬
Vimezoea facebookViGenF nini?π₯
Mheshimiwa natamani kukuona kwenye ulingo wa Siasa maana watu aina yako wamebakia wachache hususani kwenye chama chako.Na wewe rafiki nani alikuambia hivyo huwa vinasubiriwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvisubiri. Na wewe kwani umezaliwa 2000 na ngapi?
Usimtie Majaribuni Mheshimiwa Japo Chini Ya Uvungu Wa Moyo Wengi Wanaikubali HiiForm hachukui nadhani anaunga mkono NRNE
ππππViGenF nini?π₯
ni wa iramba magharibi jimboni kwa mwiguluSingida mashariki
Anaunga mkono NRNEMheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani?
NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
Ila angechukua form nadhani katika list yangu ya mawaziri bora zaidi na yeye yumoUsimtie Majaribuni Mheshimiwa Japo Chini Ya Uvungu Wa Moyo Wengi Wanaikubali Hii