Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

Mh. Katukimbia naona
πŸ˜„πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜„πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£Anajua Hamchelewi Kukinukisha


Kama Unakumbuka Kuna Mh Aliiba Taulo Belgium
 
Nani alikuambia hivyo huwa vinatakwa? Hivyo huwa ni kwa heshima ya Rais, hakuna anayeweza kuvitaka. Umezaliwa 2000 na ngapi wewe kwani?
Hahahaha Mhe jamani uchaguzi wa 1995 tayari nilikuwa nimeshazaliwa hivyo mimi ni mzee sahivi, mbona hujagombea Mhe? kazi nzuri kwako unajitahidi pia huna dharau hata raia wanakukubali sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…