Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

Hizi ni zile teuzi ambazo raisi anatakiwa aamini maamuzi yake Tanzania ukiona mtu anapigwa vita ujue anampango wa kubadilisha mazoea mabaya serikalini.

Teuzi ya Prof Muhongo ilianza hivi hivi na majungu baada ya watu kama marehemu Mengi kuona mtazamo wake wakitaalamu ni tatizo kwao.

Lakini ukweli ni kwamba Tanzania tulikuwa atuelewi frameworks za mikataba ya natural resources kupitia yeye na sheria zake zilizopita kwa hati ya dharura (ambazo baadhi ya watu wanazipinga mpaka leo, mainly due to their naivety) ndio serikali imejifunza tofauti ya mambo ya production sharing agreements, concession agreements, etc na kujifunza namna tulivyo pigwa huko nyuma.

Tofauti ya Prof Muhongo na huyu mama, he was just a technocrat you needed him for his expertise advise and probably suitable somewhere in a natural resource institutional board because hakuwa na managerial skills za kuendesha wizara.

Huyu mama has the complete package to run a ministry, daktari aliefanya kazi kwenye service delivery, amekuwa DMO, RMO, amefanya kazi kwenye administration wizarani, amesoma public health, amekuwa naibu katibu mkuu and she is ambitious to make changes.

Ningelikuwa mimi ndio sehemu ya serikali huyo mtu anatakiwa alindwe she is a rare breed ambae anatakiwa akae hapo wizarani ata kwa miaka 10 inayofuata provided her passion for making changes remain the same.
 
Hizi ni zile teuzi ambazo raisi anatakiwa aamini maamuzi yake Tanzania ukiona mtu anapigwa vita ujue anampango wa kubadilisha mazoea mabaya serikalini.

Teuzi ya Prof Muhongo ilianza hivi hivi na majungu baada ya kuona mtazamo wake wakitaalamu.

Lakini ukweli ni kwamba Tanzania tulikuwa atuelewi frameworks za mikataba ya natural resources kupitia yeye na sheria zake zilizopita kwa hati ya dharura ndio serikali imejifunza tofauti ya mambo ya production sharing agreements, concession agreements, etc na kuelewa tulivyo pigwa huko nyuma.

Tofauti ya Dr Mpango na huyu mama, he was just a technocrat you need for his expertise opinion and probably suitable somewhere in an mineral institutional board of advice hakuwa na managerial skills za kuendesha wizara.

Huyu mama has the complete package to run a ministry, daktari aliefanya kazi kwenye service delivery, amekuwa DMO, RMO, amefanya kazi kwenye administration wizarani, amesoma public health, amekuwa naibu katibu mkuu and she is ambitious to make changes.

Ningelikuwa mimi ndio sehemu ya serikali huyo mtu anatakiwa alindwe she is a rare breed ambae anatakiwa akae hapo wizarani ata kwa miaka 10 inayofuata provided her passion for making changes remain the same.
una roho ngumu sana !
 
Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija.

Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi ya kuzurura huku na huko wakipiga makelele na kutofanikisha lolote... mfano, Paul Makonda, Kigwangallah, Humphrey Polepole, Kangi Lugola na juzi Magu amemtaja Jafo kuwa Anazunguka tu lkn hakuna Ufanisi wowote katika mizunguko yake hiyo na makelele yake.

Sasa ametoka Lugola kaingia Mmama mmoja ana makeke kweli, Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya na Mnyiramba wa Shelui, Singida. Naye anatembea na Ilani ya CCM na scarf ya bendera ya TZ kama Lugola na kama Mwigulu...makelele yaleyale, makeke yaleyale, mikogo ileile.

Namwona hafiki Mbali, kama wapo wa Karibu yake wamwambie atulize wenge afanye kazi kwa Utulivu na Maarifa

Asije kusema hatukusema, ana mdomo sana yan chaaa[emoji1784]
Du!! Nilidhani ni mimi tu ndo nimemuona Kangi wa kike, kumbe tupo wengi. Mama ana makeke na kelele sijapata kuona.
 
una roho ngumu sana !
Hapana najua iko siku nitaumwa sitaki nipate services mbovu au daktari aje kunifanyia majaribio mwili wangu, kwa ivyo mtu ambae anajaribu kurekebisha mambo lazima awe rafiki yangu.

Marehemu baba yangu kaondoka kwa type 2 diabetes wakati anafanyiwa operation ya kukatwa kidole cha mguu (it should have been a normal operation procedure).

Kuna watu nawajua wamepoteza ndugu zao kwenye kujifungua mimba ambazo azikuwa na complications zozote isipokuwa uzembe tu wa midwives.

Tanzania mpaka leo jamii ailewi usonji ni nini na wala hakuna promotions campaigns to raise awareness nor minimal intervention to assist families. Watu wanalea watoto wao especially those with serious autism conditions na kila aina ya accusation kutoka kwa jamii sijui waliwatoa kafara etc with social ignorance on the condition. Who is responsible for tackling misconception and provide family support? aileweki so far, mara mkuu wa wilaya sijui nani ndio anatakiwa aje na solution all to do with the ministry incompetence.

In short hiyo wizara ilikuwa ovyo.

Ndio maana nina passion nayo kwa sababu najua iko siku nitafika kutumia huduma zao sasa sitaki maisha yangu yawe bahati nasibu na mtu anaekuja kunituba do he/she cares about my wellbeing or not, I like certainty in my life.

Kwa ivyo anapotokea mtu mwenye uelekeo wa kubadili jinsi watu wanavyofanya kazi through systematic approaches. Mafanikio ya initiatives zake ni kwa faida zangu na naona hiyo kazi anaiwezi lazima niwe upande wake ata angekuwa dada yake wa kuzaliwa Magufuli.

Muhimu kwangu ni maslahi yangu ya mbeleni maana iko siku nitafika tu hospitali nikifika nataka nipewe huduma bora.
 
Bila ya kujali mapungufu yake, tumuombee atekeleze yale wizara na jamii yake inayohitajia toka kwake
Muda huo tumia kuombea wasio na ajira,kumuombea mwenye fedha/mamlaka yake ni kupoteza muda tu.
 
Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija.

Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi ya kuzurura huku na huko wakipiga makelele na kutofanikisha lolote... mfano, Paul Makonda, Kigwangallah, Humphrey Polepole, Kangi Lugola na juzi Magu amemtaja Jafo kuwa Anazunguka tu lkn hakuna Ufanisi wowote katika mizunguko yake hiyo na makelele yake.

Sasa ametoka Lugola kaingia Mmama mmoja ana makeke kweli, Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya na Mnyiramba wa Shelui, Singida. Naye anatembea na Ilani ya CCM na scarf ya bendera ya TZ kama Lugola na kama Mwigulu...makelele yaleyale, makeke yaleyale, mikogo ileile.

Namwona hafiki Mbali, kama wapo wa Karibu yake wamwambie atulize wenge afanye kazi kwa Utulivu na Maarifa

Asije kusema hatukusema, ana mdomo sana yan chaaa🤧
Hajaanza leo, tangu akiwa katibu Tamisemi, ndio utaratibu wake!

Hivyo usimfananishe na DAB na Lugola,wamemkuta akifanya hivyi

Anyway October 25 2025 is near
 
Acheni utabiri usio na tija! Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija.

Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi ya kuzurura huku na huko wakipiga makelele na kutofanikisha lolote... mfano, Paul Makonda, Kigwangallah, Humphrey Polepole, Kangi Lugola na juzi Magu amemtaja Jafo kuwa Anazunguka tu lkn hakuna Ufanisi wowote katika mizunguko yake hiyo na makelele yake.

Sasa ametoka Lugola kaingia Mmama mmoja ana makeke kweli, Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya na Mnyiramba wa Shelui, Singida. Naye anatembea na Ilani ya CCM na scarf ya bendera ya TZ kama Lugola na kama Mwigulu...makelele yaleyale, makeke yaleyale, mikogo ileile.

Namwona hafiki Mbali, kama wapo wa Karibu yake wamwambie atulize wenge afanye kazi kwa Utulivu na Maarifa

Asije kusema hatukusema, ana mdomo sana yan chaaa[emoji1784]
Mkuu, Kwahiyo tuzo alizojaza kwenye kabati yake amezipataje maana ana tuzo nyingi Sana kapewa Kama mtumishi Bora katika kila nyazifa alizopitia.

Pili, ungejua mdudu yalipo idara ya Afya na hospitali zetu sidhani Kama ungemsema vibaya huyo mama badala yake ungemwombea.

Fikiria kituo Cha Afya kinakaa na dawa mpaka Zina expired, wakati hospitali jirani hizo dawa hawana kabsa hapo Kama kiongozi utakosaje kuwa mkali?

Kuna muda watanzania hata shetani anatushangaa, kiongozi akiwa mpole tunasema hamna kiongozi hapo, akitokea wa kukemea tunasema pia hakuna kiongozi hapo. Sijui tulilogwa na nani daaah
 
Hizi ni zile teuzi ambazo raisi anatakiwa aamini maamuzi yake Tanzania ukiona mtu anapigwa vita ujue anampango wa kubadilisha mazoea mabaya serikalini.

Teuzi ya Prof Muhongo ilianza hivi hivi na majungu baada ya watu kama marehemu Mengi kuona mtazamo wake wakitaalamu ni tatizo kwao.

Lakini ukweli ni kwamba Tanzania tulikuwa atuelewi frameworks za mikataba ya natural resources kupitia yeye na sheria zake zilizopita kwa hati ya dharura (ambazo baadhi ya watu wanazipinga mpaka leo, mainly due to their naivety) ndio serikali imejifunza tofauti ya mambo ya production sharing agreements, concession agreements, etc na kujifunza namna tulivyo pigwa huko nyuma.

Tofauti ya Dr Mpango na huyu mama, he was just a technocrat you needed him for his expertise advise and probably suitable somewhere in a natural resource institutional board because hakuwa na managerial skills za kuendesha wizara.

Huyu mama has the complete package to run a ministry, daktari aliefanya kazi kwenye service delivery, amekuwa DMO, RMO, amefanya kazi kwenye administration wizarani, amesoma public health, amekuwa naibu katibu mkuu and she is ambitious to make changes.

Ningelikuwa mimi ndio sehemu ya serikali huyo mtu anatakiwa alindwe she is a rare breed ambae anatakiwa akae hapo wizarani ata kwa miaka 10 inayofuata provided her passion for making changes remain the same.
Pole sana kwa yaliyo kupata kutokana na huduma mbovu za baadhi ya hospitali zetu. Ni kweli system nzima ya huduma za afya inahitaji kubomolewa na kuundwa upi.
Ingawa najua ana nia njema ningemshauri yafuatayo:
1. Aache kuongozana na media na kutoa maagizo mbele yao. Hii itamuweka mahali pagumu ikitokea kuwa maagizo yake hayatekelezeki.
2. Ingawa ana uzoefu wa sekta ya afya achukue muda kidogo kuisoma upya. Kwa vile hajawahi kuwa waziri majukumu yake ni mapema zaidi kwa sababu yeye ni mtu wa sera sio utendaji. Yeye sasa ni mwanasiasa sio mtumishi wa umma.
3. Akae na watendaji wake ili awajue vizuri zaidi na awaondoe hofu ili wampe ushirikiano kamila.
4. Kwa vile alikuwa Naibu Katibu Mkuu hapo awali aheshimu mipaka ya utendaji na ampe KM wake nafasi ya kupumua. Kila kitu kisiwe yeye tu.
5. Akae na wataalam wake ili wamshauri namna bora ya kutekeleza mipango yake. Kwa mfano, kununua kompyuta peke yake hakutatatua tatizo la kufuatilia inventory. Kuna software zake zinazohitajika na watu kufunzwa namna ya kuzitumia. Kuna kuunganisha mfumo mzima wa communication kwa njia iliyo salama. Yote hayo wataalam watamueleza.

Akifanya vyote hivi ndio awe anatoa matamko hadharani kwa sababu atakuwa na uhakika na utekelezaji wake. Yeye ni daktari, sio mtu wa kompyuta au manunuzi.

Amandla...
 
Hapana najua iko siku nitaumwa sitaki nipate services mbovu au daktari aje kunifanyia majaribio mwili wangu, kwa ivyo mtu ambae anajaribu kurekebisha mambo lazima awe rafiki yangu.

Marehemu baba yangu kaondoka kwa type 2 diabetes wakati anafanyiwa operation ya kukatwa kidole cha mguu (it should have been a normal operation procedure).

Kuna watu nawajua wamepoteza ndugu zao kwenye kujifungua mimba ambazo azikuwa na complications zozote isipokuwa uzembe tu wa midwives.

Tanzania mpaka leo jamii ailewi usonji ni nini na wala hakuna promotions campaigns to raise awareness nor minimal intervention to assist families. Watu wanalea watoto wao especially those with serious autism conditions na kila aina ya accusation kutoka kwa jamii sijui waliwatoa kafara etc with social ignorance on the condition. Who is responsible for tackling misconception and provide family support? aileweki so far, mara mkuu wa wilaya sijui nani ndio anatakiwa aje na solution all to do with the ministry incompetence.

In short hiyo wizara ilikuwa ovyo.

Ndio maana nina passion nayo kwa sababu najua iko siku nitafika kutumia huduma zao sasa sitaki maisha yangu yawe bahati nasibu na mtu anaekuja kunituba do he/she cares about my wellbeing or not, I like certainty in my life.

Kwa ivyo anapotokea mtu mwenye uelekeo wa kubadili jinsi watu wanavyofanya kazi through systematic approaches. Mafanikio ya initiatives zake ni kwa faida zangu na naona hiyo kazi anaiwezi lazima niwe upande wake ata angekuwa dada yake wa kuzaliwa Magufuli.

Muhimu kwangu ni maslahi yangu ya mbeleni maana iko siku nitafika tu hospitali nikifika nataka nipewe huduma bora.
Hivi wakati Ummy anaambiwa afiche takwimu za Corona ulikuwa wapi ? unafahamu kilichomkumba Ndugulile ? hivi kuna anayeweza kufanya kwa weledi na akadumu kwenye awamu hii ?
 
Pole sana kwa yaliyokukupata kutokana na huuda mbovu za baadhi ya hospitali zetu. Ni kweli system nzima ya huduma za afya inahitaji kubomolewa na kuundwa upi.
Ingawa najua ana nia njema ningemshauri yafuatayo:
1. Aache kuongozana na media na kutoa maagizo mbele yao. Hii itamuweka mahali pagumu ikitokea kuwa maagizo yake hayatekelezeki.
2. Ingawa ana uzoefu wa sekta ya afya achukue muda kidogo kuisoma upya. Kwa vile hajawahi kuwa waziri majukumu yake ni mapema zaidi kwa sababu yeye ni mtu wa sera sio utendaji. Yeye sasa ni mwanasiasa sio mtumishi wa umma.
3. Akae na watendaji wake ili awajue vizuri zaidi na awaondoe hofu ili wampe ushirikiano kamila.
4. Kwa vile alikuwa Naibu Katibu Mkuu hapo awali aheshimu mipaka ya utendaji na ampe KM wake nafasi ya kupumua. Kila kitu kisiwe yeye tu.
5. Akae na wataalam wake ili wamshauri namna bora ya kutekeleza mipango yake. Kwa mfano, kununua kompyuta peke yake hakutatatua tatizo la kufuatilia inventory. Kuna software zake zinazohitajika na watu kufunzwa namna ya kuzitumia. Kuna kuunganisha mfumo mzima wa communication kwa njia iliyo salama. Yote hayo wataalam watamueleza.

Akifanya vyote hivi ndio awe anatoa matamko hadharani kwa sababu atakuwa na uhakika na utekelezaji wake. Yeye ni daktari, sio mtu wa kompyuta au manunuzi.

Amandla...
Mimi namuelewa sana huyu mama ni hivi imagine kila wizara inakitengo cha habari.

Unakuta waziri au katibu mkuu anadhurura na afisa habari anakutana na madudu ya kila aina huko, wana record matukio wakifika ofisini hawana muda wa kupeleka hizo habari kwenye mainstream media kama vile TBC, Azam, EATV, ITV ili ujumbe ufike kwa wengi (internal and external audience).

Ukiona video zake nyingi huyu mama wakati naibu katibu mkuu ni via less popular YouTube channels ndio maana wengi tulikuwa atumjui prior to her appointment, inaonyesha jinsi gani communication za wizara zilikuwa ovyo.

Jafo ingawa anafanya kazi nzuri ila alikuwa anaji-promote mwenyewe unaweza kuona why alijua mama anauwezo zaidi yake.

Anachofanya mama sio sifa ya teuzi isipokuwa ni communication strategy tu message zake kuwafikia wengi isipokuwa alikuwa hapati airtime za popular media alipokuwa naibu katibu mkuu.

Ukimuangalia kwa makini anachofanya it’s coming from her heart she is passionate to see changes na her management knowledge is just wow.
 
Back
Top Bottom