Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

kuna jamaa alileta point moja katika uzi fulani..
nadhani alikuwa mwanadada..alisema
wanawake huwa hawana wivu wa mapenzi kama wanaume tunavyoamini.
wivu wao huwa kwamba mchepuko anakata mirija yake!!ya ulaji.
wao ukichepuka huwa wanahisi yule uliempata anafaidi vitu vizuri kama fedha na zawadi kuliko wao.imeisha hiyooo

jicheki km mkeo au mpenzi hakuonei wivu jua wee ni maskini.u got nothing to offer
 
Mimi tangu mama kimbo wangu ashinde udiwani basi imekuwa tabu tupu.
Mara arecord taarifa ya habari kwenye Flash tuangalie siku nzima,
Anadai wanawake wameshika dola.

Hivi ndugu mtoa mada hakuna dalili za talaka kweli hapo?

Nitafumua dabo kiki mwezi mzima.
 
Umenena
 
Mimi mke wangu ananilazimisha niangalie tamthiliya, nikienda kulala kidogo anakuja na kelele zake mara unaachaje watoto peke yao kwenye tv , sasa hata majina sizijui nakaa hivohivo kinyonge hadi wamalize kuangalia ndio naenda kulala, hivi huu si unyanyasaji kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…