Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kwamba ukichangiwa lazima ubaki ndoani[emoji1787][emoji1787]Arudishe michango ya watu Sasa?
Asitwambie ataomba tena mchango kwenye iyo sherehe Yake [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ukichangiwa lazima ubaki ndoani[emoji1787][emoji1787]Arudishe michango ya watu Sasa?
Asitwambie ataomba tena mchango kwenye iyo sherehe Yake [emoji1787]
1 bb usdDre ni mjinga, kipindi anamuoa huyo mzungu Nicole akina surge knight, yella, ice cube wali muonya adi kufikia kutishana kwa mitutu ya AK47, sijui anacho shangilia ni nini wakati huyo Caucasian tayari amemkomba zaidi ya 1.0b Usd,
Lakini mtu anaanza kurap bila sababu? Kama unamdekea mkeo km mama ako kwanini asikugombeze ukikosea kama mama ako [emoji23][emoji23][emoji23]
Getting away from Kero 😅 hio inaitwaHuyo hata kwenye relationship ya kawaida kama akipiga simu hujapokea anaweza piga mara 20 labda uko zako toi na akasema ulikua unachepuka. Kuna tabia hua ni hizo hizo zina advance tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Getting away from home hata after 3 months ni treatment nzuri. Unamruhusu aende kwao hata siku chache ili ummiss kidogo.
Ww Dre unamjua ww .......hata mimi naamini hivyo hivyo, Dr Dre ndio kazingua, kwa sababu mbili:
moja, mtu yeyote ambae anafurahi ndoa kuvunjika most likely yeye ndio tatizo manake hakumaanisha kuishi ndani ya ndoa milele
mbili, mwanamke alipoomba divorce alitaja masaibu ya ndoa yake ikiwemo matusi na kuwekewa pistol kichwani mara mbili.... Dr. Dre akadai mahakamani anashangaa hata siku moja mke hakusema kwa polisi, mama yake, dada zake, social media au popote kwamba anasulubiwa hadi na mapisto
ambacho kimenifunza kitu kimoja, hii conventional wisdom ya kusema tutunze matatizo yetu ndani kwa ndani kuna siku utaambiwa we muongo, kwa nini hukusema hata kwa ndugu kwamba kunawaka moto humo ndani
Nimepoteza heshima yote kwa Dr Dre, nilidhani ame move past his NWA post-tenage bravado. Mtu mzima unaandikaje bango la DIVORCED AS F@CK ?
Beat la STILL kkmmk tamu aiseeHizi ngoma hizi hata ipite miaka 100 hazichoshi kusikiliza...
1. Keep their heads ringin
2. Still dre
3. Califonia Love
Stori yako sio ya kweli. Hakuna mtu aliyemkataza Dre kumuoa Nicole. Pili Nicole hajapewa dola bilioni 1, hela ambayo ni zaidi ya utajiri wa Dre. Mahakama imemuamuru Dre awe anamlipa Nicole hela za matunzo dola 300,000 kila mwezi.Dre ni mjinga, kipindi anamuoa huyo mzungu Nicole akina surge knight, yella, ice cube wali muonya adi kufikia kutishana kwa mitutu ya AK47, sijui anacho shangilia ni nini wakati huyo Caucasian tayari amemkomba zaidi ya 1.0b Usd,
Again, stori yako sio ya kweli. Snoop na Dre hawajawahi kugombania umiliki wa Nuthin But a G Thang. Inaeleweka kwamba wimbo ni wa Dre na Snoop alishirikishwa tu.Dre na snoopy adi leo wanavutana juu ya mmliki wa huu wimbo, kila mmoja ana sema ni wake, hii beat ni ya 1991/92 lakini bado ina hit kwenye music industry
Nuthin But a G Thing sio production ya Aftermath. Ulitengenezwa wakati Dre na Snoop bado wako Deathrow. Upo kwenye albamu ya kwanza ya Dre (The Chronic).Ila production ni ya Dre kupitia Aftermath Record na wimbo huu ulimtambulisha Snoop
hata kwenye album ya kwanza ya snoopy, 'Doggystyle' ya 1993 'nothing but g thang' kwa sehem kubwa ndiyo wimbo uliye ibeba album na mtunzi akiwa snoopy...…!, hapo sasa ndiyo utamwelewa vizuri Mario Surge Knight ni nanii??Nuthin But a G Thing sio production ya Aftermath. Ulitengenezwa wakati Dre na Snoop bado wako Deathrow. Upo kwenye albamu ya kwanza ya Dre (The Chronic).
Uliibeba kivipi wakati haukuwemo kwenye hiyo album?hata kwenye album ya kwanza ya snoopy, 'Doggystyle' ya 1993 'nothing but g thang' kwa sehem kubwa ndiyo wimbo uliye ibeba album na mtunzi akiwa snoopy...…!, hapo sasa ndiyo utamjua Mario Surge Knight ni nanii??
Kwan nyie wanaume mliooa mkoje mbona mnapokua kwenye chama chetu chamabaharia mnakua ngangari mkiingia ndoani mnakuaje yanMimi mke wangu ananilazimisha niangalie tamthiliya, nikienda kulala kidogo anakuja na kelele zake mara unaachaje watoto peke yao kwenye tv , sasa hata majina sizijui nakaa hivohivo kinyonge hadi wamalize kuangalia ndio naenda kulala, hivi huu si unyanyasaji kweli
4.Been there done that!Hizi ngoma hizi hata ipite miaka 100 hazichoshi kusikiliza...
1. Keep their heads ringin
2. Still dre
3. Califonia Love
KushHizi ngoma hizi hata ipite miaka 100 hazichoshi kusikiliza...
1. Keep their heads ringin
2. Still dre
3. Califonia Love
sawa, wewe unamjua, ume grow up nae huko Compton.Ww Dre unamjua ww .......
unadhani Dre ni mtu wa kanisa!!??
yule ni Gangster by nature tena hapo anejitahidi sana kutoharibu
Yeah nilikuwa na yeye na Niggaz wote wa NWA...DJ Yella, MC Ren,Eazy E, Ice Cubesawa, wewe unamjua, ume grow up nae huko Compton.
Uwe unachelewa kurudiMimi mke wangu ananilazimisha niangalie tamthiliya, nikienda kulala kidogo anakuja na kelele zake mara unaachaje watoto peke yao kwenye tv , sasa hata majina sizijui nakaa hivohivo kinyonge hadi wamalize kuangalia ndio naenda kulala, hivi huu si unyanyasaji kweli
Wewe na miss pablo ni ndugu?Anasherekea kamalizana na kipengele
Nuthin But a G Thing sio production ya Aftermath. Ulitengenezwa wakati Dre na Snoop bado wako Deathrow. Upo kwenye albamu ya kwanza ya Dre (The Chronic).
4. Bad intentionsHizi ngoma hizi hata ipite miaka 100 hazichoshi kusikiliza...
1. Keep their heads ringin
2. Still dre
3. Califonia Love