Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
BushokeMimi mke wangu ananilazimisha niangalie tamthiliya, nikienda kulala kidogo anakuja na kelele zake mara unaachaje watoto peke yao kwenye tv , sasa hata majina sizijui nakaa hivohivo kinyonge hadi wamalize kuangalia ndio naenda kulala, hivi huu si unyanyasaji kweli