Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

Hapana naamini mwanamke kakimbia tabia za mwamba ,Dr Dre
hata mimi naamini hivyo hivyo, Dr Dre ndio kazingua, kwa sababu mbili:

moja, mtu yeyote ambae anafurahi ndoa kuvunjika most likely yeye ndio tatizo manake hakumaanisha kuishi ndani ya ndoa milele

mbili, mwanamke alipoomba divorce alitaja masaibu ya ndoa yake ikiwemo matusi na kuwekewa pistol kichwani mara mbili.... Dr. Dre akadai mahakamani anashangaa hata siku moja mke hakusema kwa polisi, mama yake, dada zake, social media au popote kwamba anasulubiwa hadi na mapisto

ambacho kimenifunza kitu kimoja, hii conventional wisdom ya kusema tutunze matatizo yetu ndani kwa ndani kuna siku utaambiwa we muongo, kwa nini hukusema hata kwa ndugu kwamba kunawaka moto humo ndani

Nimepoteza heshima yote kwa Dr Dre, nilidhani ame move past his NWA post-tenage bravado. Mtu mzima unaandikaje bango la DIVORCED AS F@CK ?
 
D.R.E. right back up on top of thangs
Smoke some wit' your Dogg
No stress, no seeds, no stems, no sticks!
Some of that real sticky-icky-icky
Ooh wee! Put it in the air!
Well, you's a fool, D-R, ha-ha.

Did y'all think I'ma let my dough freeze, h0e please
You better bow down on both knees
Who you think taught you to smoke trees?
Who you think brought you the oldies?
Eazy-E's, Ice Cubes, and D.O.C's

So f**k y'all, all of y'all
If y'all don't like me, bl0w me.
 
Jamaa kapitia mengi , ukiwa na mwanamke tough aisee utaomba po, nilikuwa na mwanamke mmoja hv daah nilitaman ardhi ipasuke , nikatafta upenyo wa kuchora , sku nimeupata nilishangilia sana nikaenda kutoa na sadaka church
 
Forgot About Dre
Song by Dr. Dre and Eminem.

The Chronic is the classic Dr's album
 
Dre ni mjinga, kipindi anamuoa huyo mzungu Nicole akina surge knight, trotman, yella, ice cube wali muonya adi kufikia kutishana kwa mitutu ya AK47, sijui anacho shangilia ni nini wakati huyo Caucasian tayari amemkomba zaidi ya 1.0b Usd,
 
Kwenye kutalikiana mara nyingi mwanamke ndio anaonekana ana shida
 
Mkuuu umenichekesha sana ...sasa na ww si utafute mchepuko
 
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Hebu nitag huo uzi

NB

Nathibitisha alichosema huyo mwanadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…