Alikuwa anakufanyaje?Jamaa kapitia mengi , ukiwa na mwanamke tough aisee utaomba po, nilikuwa na mwanamke mmoja hv daah nilitaman ardhi ipasuke , nikatafta upenyo wa kuchora , sku nimeupata nilishangilia sana nikaenda kutoa na sadaka church
Yasije yakamkuta ya Joyce kiria[emoji38][emoji38]Acha tu asherehekee iyo divorce mbona wengine wakifiwa wananenepa na kunawiri kabisa
Hivi Joyce kiria yabebkta yepi da sauti yake ya bafua daoda saivi ada Ben Ted wake wa kuvaa hereni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 (mafua's voice)Yasije yakamkuta ya Joyce kiria[emoji38][emoji38]
Ila amezingua sana. Kuishi na mwanamke miaka 25 halafu muachane ni upuuuzi sana.hata mimi naamini hivyo hivyo, Dr Dre ndio kazingua, kwa sababu mbili:
moja, mwanamke alipoomba divorce alitaja masaibu ya ndoa yake ikiwemo matusi na kuwekewa pistol kichwani mara mbili.... Dr. Dre akajitetea mahakamani kwamba mbona hata siku moja mke hakusema kwa polisi, mama yake, dada zake, social media au popote kwamba anasulubiwa ndani ya ndoa ?
ambacho kimenifunza kitu kimoja, hii conventional wisdom ya kusema tutunze matatizo yetu ndani kwa ndani kuna siku utaambiwa we muongo, kwa nini hukusema hata kwa dada yako kwamba kunawaka moto humo ndani
na pili, mtu yeyote ambae anafurahi ndoa ikivunjika most likely yeye ndio alikuwa tatizo manake hakumaanisha kuishi ndani ya ndoa milele
Nimepoteza heshima yote kwa Dr Dre, nilidhani ame move past his NWA bravado. Mtu mzima unaandikaje bango la DIVORCED AS F@CK ?
Lazima iwe ni mwanamke. We mtu anakupatia mahitaji yako yote. Amekujengea nyumba mnaishi, analala hapo ndani kitanda kimoja na wewe. Anakuhudumia na watoto wako. Anakwenda kushinda mjini kutwa nzima baada ya kuondoka asubuhi na anarejea jioni sana saa mbili au tatu usiku.6Kwenye kutalikiana mara nyingi mwanamke ndio anaonekana ana shida
The gheto minds still in himhata mimi naamini hivyo hivyo, Dr Dre ndio kazingua, kwa sababu mbili:
moja, mwanamke alipoomba divorce alitaja masaibu ya ndoa yake ikiwemo matusi na kuwekewa pistol kichwani mara mbili.... Dr. Dre akajitetea mahakamani kwamba mbona hata siku moja mke hakusema kwa polisi, mama yake, dada zake, social media au popote kwamba anasulubiwa ndani ya ndoa ?
ambacho kimenifunza kitu kimoja, hii conventional wisdom ya kusema tutunze matatizo yetu ndani kwa ndani kuna siku utaambiwa we muongo, kwa nini hukusema hata kwa dada yako kwamba kunawaka moto humo ndani
na pili, mtu yeyote ambae anafurahi ndoa ikivunjika most likely yeye ndio alikuwa tatizo manake hakumaanisha kuishi ndani ya ndoa milele
Nimepoteza heshima yote kwa Dr Dre, nilidhani ame move past his NWA bravado. Mtu mzima unaandikaje bango la DIVORCED AS F@CK ?
Naweza afikiana na hilo sababu most of the times ili ndoa iendelee kuwepo inatakiwa mwanamke awe na heart of steel! Uvumilivu na flexibility ndio key. Akishindwa hapo lazma huo uhusiano ufe kifo cha mende. Mwanaume hata ukiendelea kupenda haisaidii!Kwenye kutalikiana mara nyingi mwanamke ndio anaonekana ana shida
Ushasema 'unless' kwahiyo sio mara zote mwanamke ana makosa ila walimwengu hua mnaanza kukimbilia kua mwanamke ndio shidaLazima iwe ni mwanamke. We mtu anakupatia mahitaji yako yote. Amekujengea nyumba mnaishi, analala hapo ndani kitanda kimoja na wewe. Anakuhudumia na watoto wako. Anakwenda kushinda mjini kutwa nzima baada ya kuondoka asubuhi na anarejea jioni sana saa mbili au tatu usiku.6
Wewe bado kumsumbua sumbua kichwa na drama za kipuuzi na madeko ya kipuuzi. Hivi unadhani watoto wa wenzenu hawana moyo?!
Mnakera sana. So ni kweli ukiona ndoa imevunjika mwanamke kahusika kwa asilimia kubwa sana. Kataa ukataavyo. Unless mwanaume awe na matatizo ya akili kama ukorofi na kupenda kupiga mke kwa kumuonea.
Kuta 4 zina mambo. Kuna mahusiano mwanamke hakumbuki ameambiwa 'i love you' lini tangu aolewe. Kila siku jamaa ni 'me too'.Naweza afikiana na hilo sababu most of the times ili ndoa iendelee kuwepo inatakiwa mwanamke awe na heart of steel! Uvumilivu na flexibility ndio key. Akishindwa hapo lazma huo uhusiano ufe kifo cha mende. Mwanaume hata ukiendelea kupenda haisaidii!
Mwanaume anakuwa chanzo tu ikiwa tu aidha yuko violent ama ana madhaifu labda ya kimaumbile halikadhalika nguvu za kiume. Hapo anaweza akaamua tu muachane maana theres no point ya kuendelea kuvumilia malalamiko ya mwanamke na kejeli!
Cases nyingi huanzia kwa wanawake kulalamika.
Dah kweli yani,,,sema sasa najiuliza hivi kwa yale makwazo na wanawake kukosa staha za midomo hivi unapataje akili ya kusema “I love you”!Kuta 4 zina mambo. Kuna mahusiano mwanamke hakumbuki ameambiwa 'i love you' lini tangu aolewe. Kila siku jamaa ni 'me too'.
Lakini mtu anaanza kurap bila sababu? Kama unamdekea mkeo km mama ako kwanini asikugombeze ukikosea kama mama ako [emoji23][emoji23][emoji23]Dah kweli yani,,,sema sasa najiuliza hivi kwa yale makwazo na wanawake kukosa staha za midomo hivi unapataje akili ya kusema “I love you”!
Mwanamke akikuona ni full ku rap tu hawezi present hoja zake in a calm way! Ni kugomba gomba tu[emoji28]
Kuna mwanamke hawezi kuongea neno moja, hoja ya msingi ni kukukumbusha kitu ila atasindikizia mineno kibao na kejeli juu😅 ilimradi tu ikuume akuharibie mood!Lakini mtu anaanza kurap bila sababu? Kama unamdekea mkeo km mama ako kwanini asikugombeze ukikosea kama mama ako [emoji23][emoji23][emoji23]
Janeti mag[emoji359]Acha tu asherehekee iyo divorce mbona wengine wakifiwa wananenepa na kunawiri kabisa
Huyo hata kwenye relationship ya kawaida kama akipiga simu hujapokea anaweza piga mara 20 labda uko zako toi na akasema ulikua unachepuka. Kuna tabia hua ni hizo hizo zina advance tu [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwanamke hawezi kuongea neno moja, hoja ya msingi ni kukukumbusha kitu ila atasindikizia mineno kibao na kejeli juu[emoji28] ilimradi tu ikuume akuharibie mood!
Do this more than thrice ntaanza kuku ignore cause you are messing me up!
Kanawiri mama wa watu nuru imerudi usoni ngozi inang'aa kwan ana shida gani😂😂😂Janeti mag[emoji359]
Najua ni vigumu kumtoa Mondi u-Tandale wake lakini Dr. alianza kujitenga na kugombana na U-tandale wa kina Easy E, baadae Suge Knight na Tupac, na the Game toka zamani, akaimba "Been there dobe that." Nikajua asha grow up, kumbe bado. Eti "divorced as fuckk."The gheto minds still in him
Unaweza mtoa diamond tandale,lakini huwezi itoa tandale kwa diamond .Still mtandale[emoji2]