Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

Lakini mtu anaanza kurap bila sababu? Kama unamdekea mkeo km mama ako kwanini asikugombeze ukikosea kama mama ako [emoji23][emoji23][emoji23]


Sisi wanaume ni wicked kuhusu nyiyi watu,yaani hata uwe Iddi Amini lakini kuna kona tu utalegezwa halafu unatoa zote. Upete bahati tu ukutane na dada muungwana, lakini most of the women here in this modern world mwisho wake mbaya, wanakulamba hela zote halafu utajiju
 
Getting away from Kero 😅 hio inaitwa
 
Ww Dre unamjua ww .......
unadhani Dre ni mtu wa kanisa!!??
yule ni Gangster by nature tena hapo anejitahidi sana kutoharibu
 
Dre ni mjinga, kipindi anamuoa huyo mzungu Nicole akina surge knight, yella, ice cube wali muonya adi kufikia kutishana kwa mitutu ya AK47, sijui anacho shangilia ni nini wakati huyo Caucasian tayari amemkomba zaidi ya 1.0b Usd,
Stori yako sio ya kweli. Hakuna mtu aliyemkataza Dre kumuoa Nicole. Pili Nicole hajapewa dola bilioni 1, hela ambayo ni zaidi ya utajiri wa Dre. Mahakama imemuamuru Dre awe anamlipa Nicole hela za matunzo dola 300,000 kila mwezi.
 
Dre na snoopy adi leo wanavutana juu ya mmliki wa huu wimbo, kila mmoja ana sema ni wake, hii beat ni ya 1991/92 lakini bado ina hit kwenye music industry
Again, stori yako sio ya kweli. Snoop na Dre hawajawahi kugombania umiliki wa Nuthin But a G Thang. Inaeleweka kwamba wimbo ni wa Dre na Snoop alishirikishwa tu.
 
Ila production ni ya Dre kupitia Aftermath Record na wimbo huu ulimtambulisha Snoop
Nuthin But a G Thing sio production ya Aftermath. Ulitengenezwa wakati Dre na Snoop bado wako Deathrow. Upo kwenye albamu ya kwanza ya Dre (The Chronic).
 
Nuthin But a G Thing sio production ya Aftermath. Ulitengenezwa wakati Dre na Snoop bado wako Deathrow. Upo kwenye albamu ya kwanza ya Dre (The Chronic).
hata kwenye album ya kwanza ya snoopy, 'Doggystyle' ya 1993 'nothing but g thang' kwa sehem kubwa ndiyo wimbo uliye ibeba album na mtunzi akiwa snoopy...…!, hapo sasa ndiyo utamwelewa vizuri Mario Surge Knight ni nanii??
 
hata kwenye album ya kwanza ya snoopy, 'Doggystyle' ya 1993 'nothing but g thang' kwa sehem kubwa ndiyo wimbo uliye ibeba album na mtunzi akiwa snoopy...…!, hapo sasa ndiyo utamjua Mario Surge Knight ni nanii??
Uliibeba kivipi wakati haukuwemo kwenye hiyo album?
 
Kwan nyie wanaume mliooa mkoje mbona mnapokua kwenye chama chetu chamabaharia mnakua ngangari mkiingia ndoani mnakuaje yan

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Uwe unachelewa kurudi
 
Nuthin But a G Thing sio production ya Aftermath. Ulitengenezwa wakati Dre na Snoop bado wako Deathrow. Upo kwenye albamu ya kwanza ya Dre (The Chronic).

Kama

“ Nuthin But A G Thang “ ilikua produced at Deathrow Records
Basi nyimbo zote zinamilikiwa na Rights zake na Suge Knights aliyekua Boss wa Deathrow Records

Maana kipindi Dre anataka kutoka Deathrow afanye yake independently Suge Knight alimfanyia u mafia alimuambia aondoke kama alivyo na master zote akamuambia hana rights nazo (Fatilia Utaja Niamini Kwa Hili)

Suge alimuendea na genge la wahuni na dre anakumbuka sana tu jinsi Suge alivyomtoa na kuvunja mkataba na Ruthless Records ya Easy E ki babe na Kimafia vile vile. Suge alikua noma sanaa Snoop Dogg mwenyewe alikiri alikua anamuogopa Suge Balaa back in the days.

Carlifonia Love, Na mangoma yote Under Deathrow Dre hana rights nazo zote hzo...forgot about dre na still dre zile ni chini aftermath wakati huo dre tayari yupo independent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…