Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

Obama wakat wa utawala wake aliingiza waislam mamilion USA hao ndio hao wanaopigia kura Kuna mamdan, ilihan msomali, na uyo Sayed

Obama ndio alharibu USA kuimport moslim
Michigan ina wapiga kura waislam laki 3 pekee katika jimbo lenye wapiga kura Million 7.3 maana yake waislam ni 4% pekee. Kwahiyo umepotosha
 
Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
Vilaza hawa, wana ulokole mavi sana hata kwenye general politics.
Huyo Echolima ndio zile dizaini hata hawezi hata kung'amua wakimuita nyani kilugha chao atajichekesha kwao
 
Na hii ndio faida ya nchi za kidemokrasia, huwezi kukuta ushenzi kama wa nchi zinazoongozwa kwa udicteta, sharia za kihuni za kiislamu za kibaguzi na uhuni dhidi ya utu.

Wazungu wanamengi maovu lakini hatuwezi kuwafananisha na haya majinga ya Asia+Afrika ambako mnawatendea mabaya wageni na raia wazawa wenzenu, alafu mkienda ktk nchi za watu mnataka kutendewa mema huku mkiforce nchi zao zitambue ujima wa maisha ya nchi zenu.

Hiyo ndio demokrasia, sio matumizi ya nguvu bali akili,
 
Wewe mlokole mavi nyoosha maelezo
Sema kiazi kimekukaba, ulipenda wewe ungeishi huko ukampigia kura mgalatia mwenzako
 
Kabisa Gen z wamezidi kuyajua maovu na mauaji ya wazayuni
 
huwezi sikia nchi ya Kiislamimemchangua kiongozi Mkristo,
 
Mbona kama umepanic sana mzee taratibu unatutemea mate
Kwani wanaofata inayoitwa demokrasia walilazimishwa si maamuzi yao wenyewe
Pia hao wazungu hawana akili na hio wanayoiita demokrasia ndio inaleta uovu mwingi
Wazungu wana mazuri mengi wala sio uongo ila wana ushenzi mwingi zaidi
Na bila hio inayoitwa demokrasia hii dunia ingekua mahala salama sana sana sana
 
huwezi sikia nchi ya Kiislamimemchangua kiongozi Mkristo,
Ushasema nchi ya kiislam sasa kiongozi wa kikristo akafanye nini kwenye uongozi wa nchi hio
Sababu katika sharti lao la kwamza wataeka mgombea awe muislam
 
Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
bora hao wanaotemea mate kuliko mashetani magaidi yanao ua Wakristo
 
Hatashinda uchaguzi mkuu. Pamoja na kwamba jimbo lilikua chini ya Democrats lakini uchaguzi mkuu November hawafurukuti. Jimbo kama Winsconsin, michigan yanahitaji moderates. Progresive waende New York huko na Carlifonia
 
Vipi, hakuna utaratibu wa Chama kurudisha jina walitakalo baada ya kura ya maoni?
 
Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
Juzi tu nilikuwekea video za waafrika wakifurahia maisha huko Israel!!

Tatizo lenu mnazuzuka na video za propaganda za waarabu dhidi ya wayahudi!! Ukweli Israel ni sehemu salama kwa Waafrika na Wakristo kuliko nchi za kiarabu!!!
 
Ni kwamba Israel kupitia AIPAC imechokwa na Wamarekani wa kizazi kipya cha wapiga kura? Au ni wapiga kura wanataka tu kubadili aina mpya ya Uongozi?..

Kichuguu Kiranga
Nilitarajia utasema Israel na AIPAC wamechokwa na Wahamiaji waislamu kutoka Mashariki ya kati!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…