Waangalie waafrika wakiwa Israel achana na video za Arabs/Muslims Propaganda!!!Juzi niliona mtu mweusi anahubiri kule Israel anatemewa mate na matusi kibao nikatamani hawa kina Echolima1 wapelekwe huko kuhubiri ili wakashike adabu zao.
Kampeni ya Abdul El-Sayed inaripotiwa kupokea zaidi ya $115,000 kutoka kwa maafisa kadhaa wa sasa na wa zamani wa CAIR. Lakini sisi yetu macho!!!Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine
Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate mwezi November.
Pro Israel kupitia American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) waliwekeza zaidi ya USD 65 Million (172 Billion Tsh) kwa mgombea wao Haley Stevens kwa ajili ya kampeni hasa matangazo ya mitandaoni na vyombo vya habari ili kuwafikia wapiga kura wengi zaidi. Pesa hii pia ilitumika kufanya kampeni za kumchafua mgombea Al Sayed kama gaidi na mhamiaji haramu ili kumpunguzia ushawishi.
View attachment 3644423
Bahati mbaya sana kampeni hizo hazikuvuna chochote baada ya El Sayed kushinda. Ikumbukwe pia mgombea mwingine nafasi ya uwakilishi huko Michigan ambaye ni Pro-Palestine; William lawrence naye alimshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-israel lobby groups kama AIPAC.
Trend hii imeendelea Marekani ambapo mwezi uliopita tuliona wagombea pro-palestine wakishinda kura za maoni huko New York (jimbo lenye wayahudi wengi zaidi marekani) kwa kuwaangusha wawakilishi wa miaka mingi na pro-israel licha ya mabilioni kumwagwa na AIPAC kuwapigia kampeni wagombea hao.
Hizi chaguzi zinatoa funzo kuwa mtazamo wa raia wa Marekani kuhusu Israel unazidi kubadilika. Miaka ya nyuma isingekua rahisi kuipinga israel na ukashinda hata kwa democrats. It's a wake up call kuwa wazayuni wanazidi kukataliwa maeneo mengi duniani licha ya kumwaga mabilioni kununua wapiga kura.
View attachment 3644422
Kule Misri wakristo kibao tu wamechaguliwa bungeni na wengine mawaziri kabisa.huwezi sikia nchi ya Kiislamimemchangua kiongozi Mkristo,
Acha ujinga Misri ni nchi ya kiislamu?Kule Misri wakristo kibao tu wamechaguliwa bungeni na wengine mawaziri kabisa.
Sasa mbona wewe mzayuni wa jf unakomaa hapo tandale maguniani huendi kuleJuzi tu nilikuwekea video za waafrika wakifurahia maisha huko Israel!!
Tatizo lenu mnazuzuka na video za propaganda za waarabu dhidi ya wayahudi!! Ukweli Israel ni sehemu salama kwa Waafrika na Wakristo kuliko nchi za kiarabu!!!
Ndio ni nchi ya kiislamu wakristo ni 10% pekeeAcha ujinga Misri ni nchi ya kiislamu?
Propaganda za kitoto hizo, hao waisrael wanaofadhili hadi Al Qaeda ya Syria hawaitwi magaidi ilihali ndio hao hao wanafadhili wagombea wa pro-israel huko marekani.Kampeni ya Abdul El-Sayed inaripotiwa kupokea zaidi ya $115,000 kutoka kwa maafisa kadhaa wa sasa na wa zamani wa CAIR. Lakini sisi yetu macho!!!
Wapiga kura wanastahili kujua ni nani anayewafadhili wagombea wanaoomba kura zao.
Ulivyo mjinga Zanzibar Ina waislamu 99.% na Wakristo ni 1 au 2% Je ni nchi ya kiislamu?Ndio ni nchi ya kiislamu wakristo ni 10% pekee
Kwani marekani ni nchi ya kikristo? Tunaposema nchi ya kikristo au kiislam hatuongelei katiba ila maana yake Raia wa dini husika wakiwa zaidi ya 70% ndio tunaita hivyo.Zanzibar Ina Waislamu 99.
Ulivyo mjinga Zanzibar Ina waislamu 99.% na Wakristo ni 1 au 2% Je ni nchi ya kiislamu?
Wacha weee! Mchambuzi wa msuala ya kimataifa kutoka pande za Tegeta kwa Ndevu.Obama wakat wa utawala wake aliingiza waislam mamilion USA hao ndio hao wanaopigia kura Kuna mamdan, ilihan msomali, na uyo Sayed
Obama ndio alharibu USA kuimport moslim
Acha ujinga nchi ya kiislamu ni Kama vile Iran na zingine siyo Misri Kama ulivyodanganya!!Kwani marekani ni nchi ya kikristo? Tunaposema nchi ya kikristo au kiislam hatuongelei katiba ila maana yake Raia wa dini husika wakiwa zaidi ya 70% ndio tunaita hivyo.
Ila ukitaka nchi ya kikristo basi utakuta ni Vatican pekee!!
Lakini hao Wayahudi si ndio waliomtesa yule Mungu wako kisha wakamsulubu msalabani.bora hao wanaotemea mate kuliko mashetani magaidi yanao ua Wakristo
Israel inaua wakristo kila siku huko westbank na Lebanon huku inalipua makanisa kabisa je una maoni gani?bora hao wanaotemea mate kuliko mashetani magaidi yanao ua Wakristo
Muda utaamua, maan Trump pia amechokwa so El Zayed anatarajia kupata pia kura za hasira za swing voters waliochoka vita za Iran na changamoto zingine za kiuchumi.Hatashinda uchaguzi mkuu. Pamoja na kwamba jimbo lilikua chini ya Democrats lakini uchaguzi mkuu November hawafurukuti. Jimbo kama Winsconsin, michigan yanahitaji moderates. Progresive waende New York huko na Carlifonia
Wenzetu kura za wanachama ndio zinaamua hakuna cha mwenyekiti kuleta jina la mfukoni.Vipi, hakuna utaratibu wa Chama kurudisha jina walitakalo baada ya kura ya maoni?
We hunaga akili, Egypt ni mwanachama wa Organization of Islamic Countries (OIC) tokea 1969.Acha ujinga nchi ya kiislamu ni Kama vile Iran na zingine siyo Misri Kama ulivyodanganya!!
Hilo ndilo kila siku nakataa, Marekani itaanzishaje makundi ya kigaidi yenye waislamu tu!!!???Israel inaua wakristo kila siku huko westbank na Lebanon huku inalipua makanisa kabisa je una maoni gani?
Pia Israel na USA ndio imeanzisha na kufadhili hivyo vikundi vya kigaidi alafu nyie mnaaminishwa ni "waislam" ndio magaidi.
Kajifunze kuhusu operation cyclone ambapo USA ilimwaga mabilioni kuanzisha na kufadhili makundi ya kigaidi ikiwemo Al qaeda, Taleban na ISIS.