Ni Propaganda tu za Waarabu/Waislamu wanaeneza uongo huo!!Israel inaua wakristo kila siku huko westbank na Lebanon huku inalipua makanisa kabisa je una maoni gani?
Pia Israel na USA ndio imeanzisha na kufadhili hivyo vikundi vya kigaidi alafu nyie mnaaminishwa ni "waislam" ndio magaidi.
Kajifunze kuhusu operation cyclone ambapo USA ilimwaga mabilioni kuanzisha na kufadhili makundi ya kigaidi ikiwemo Al qaeda, Taleban na ISIS.
Axis of evil ni USA, Israel na Zionists.
Pia huu mchoro unapotosha, Democrats mbona ndio ina watu weusi na wahispania wengi kuliko Republicans sasa inakuaje tena ndio wawe racists? Nachojua Republicans ndio racists.
Naandaa uzi wa kitakwimu kabisa namba ya wakristo waliouwawa na IDF ndani ya Israel na pia westbank na naomba usikimbie ukweli maana ni facts kutoka official sources za Israel kwenyewe.Juzi tu nilikuwekea video za waafrika wakifurahia maisha huko Israel!!
Tatizo lenu mnazuzuka na video za propaganda za waarabu dhidi ya wayahudi!! Ukweli Israel ni sehemu salama kwa Waafrika na Wakristo kuliko nchi za kiarabu!!!
Wahamiaji gani hao wakati takwimu zinaonyesha wapiga kura laki 2 pekee ndio waarabu/waislam huku zaidi ya milion 7 sio waislam wala waarabu!!Nilitarajia utasema Israel na AIPAC wamechokwa na Wahamiaji waislamu kutoka Mashariki ya kati!!
Hela ya wayahudi/AIPAC,wanajaza watu wao bungeni,bungeni ndiko hupita maamuzi ya kuipa hela na silaha IsraelImagine kutumia zaidi ya Tsh bilioni 170 kumchafua mtu alafu mwisho wa siku anashinda asubuhi na mapema. Hiyo hela si bora wangejenga hata shule kuliko hii complete waste of resources.
Usipate tabu na hilo pang'ang'aWahamiaji gani hao wakati takwimu zinaonyesha wapiga kura laki 2 pekee ndio waarabu/waislam huku zaidi ya milion 7 sio waislam wala waarabu!!
Usipate tabu na hilo pang'ang'aWahamiaji gani hao wakati takwimu zinaonyesha wapiga kura laki 2 pekee ndio waarabu/waislam huku zaidi ya milion 7 sio waislam wala waarabu!!
We hunaga akili, Egypt ni mwanachama wa Organization of Islamic Countries (OIC) tokea 1969.
Ukisema nchi ya kiislamu ni Iran pekee basi leo ndio ujue kwenye bunge lao "Majlis" kuna wabunge wa kiyahudi na kikristo pia.
In fact kuna viti kadhaa vimetengwa rasmi kabisa kwa ajili ya religious minority za Iran hasa wakristo na wayahudi. Hunaga elimu ndio maana huna unalojua kuhusu siasa za kimataifa
Hizo ni takwimu za Propaganda za Waarabu/Waislmu tu IDF haiwezi kuua kisa mkristo mbona sisi hatuuwawi?Naandaa uzi wa kitakwimu kabisa namba ya wakristo waliouwawa na IDF ndani ya Israel na pia westbank na naomba usikimbie ukweli maana ni facts kutoka official sources za Israel kwenyewe.
Ndio tutaona unafiki wenu kwamba mtatetea wakristo au wauaji wa kiyahudk.
Nani kakwambia vya kiislam tu, kwani hujui US ilisupport magaidi wa Khmer Rouge chini ya Pol Pot walioua mamilion ya watu Cambodia na Vietnam miaka ya 70 na 80 ila hawawezi itwa magaidi sababu sio waislam.Hilo ndilo kila siku nakataa, Marekani itaanzishaje makundi ya kigaidi yenye waislamu tu!!!???
Wakuuwe kwani upo mashariki ya kati? Wakristo wa Lebanon wameuwawa kwa maelfu tokea 1982 na makanisa kibao yamechomwa sasa unabisha nini?Hizo ni takwimu za Propaganda za Waarabu/Waislmu tu IDF haiwezi kuua kisa mkristo mbona sisi hatuuwawi?
Mbona waafrika huwa tunapewa pesa na silaha tunapigana wenyewe huku wazungu wakitucheka. Wao wanaangalia maslahi yao na wanawagawa mfano Saudi anamuona iran adui kisa tu ni shia wao sunni zote hizo propaganda za USA kugawa watu ili wapigane wenyewe.Waislam hawawezi kukubali kutumiwa na makafiri ili kuchafua dini yao.
Mamdani mbona alishinda mkuu na huku New York Inaongoza kwa wayahudi wengi zaidi marekani nzima.I’m worried democrats wanapoteza hiki kiti November, wazungu wengi kusapoti kobazi ni ngumu sana hata kama democrats mwenzao
Wakuuwe kwani upo mashariki ya kati? Wakristo wa Lebanon wameuwawa kwa maelfu tokea 1982 na makanisa kibao yamechomwa sasa unabisha nini?
View attachment 3645263
Pia Israel inafungua kambi Somaliland natamani sana ikamilike alafu siku wakiitaka Tanzania waje kuchinja wakristo hapa ndio akili zitawarudi kuwa sio wenzenu wale. Ni suala la muda tu
Ndiyo nipo mashariki ya kati mwaka wa one sasa!!Wakuuwe kwani upo mashariki ya kati? Wakristo wa Lebanon wameuwawa kwa maelfu tokea 1982 na makanisa kibao yamechomwa sasa unabisha nini?
Umechelewa sana kueneza uongo wako huo labda musikitini tu ndiyo watakuamini!!Pia Israel inafungua kambi Somaliland natamani sana ikamilike alafu siku wakiitaka Tanzania waje kuchinja wakristo hapa ndio akili zitawarudi kuwa sio wenzenu wale. Ni suala la muda tu
It is a swing state and looking at his victory he was voted in by the voter with degree education leaving him vulnurable with voters with no education. Looking at Michigan, it is not a city state but rather a mixed up. He will rack in voters around Detroit but he needs rural counties with less than 5000 voters to win come November.Muda utaamua, maan Trump pia amechokwa so El Zayed anatarajia kupata pia kura za hasira za swing voters waliochoka vita za Iran na changamoto zingine za kiuchumi.
Obama sio muislamu acha uongo hajawahi kuingiza watu marekani, usifananishe marekani na nchi za kiafrika . Mtu mmoja hawezi kuanua jambo pekeeObama wakat wa utawala wake aliingiza waislam mamilion USA hao ndio hao wanaopigia kura Kuna mamdan, ilihan msomali, na uyo Sayed
Obama ndio alharibu USA kuimport moslim
Pia huu mchoro unapotosha, Democrats mbona ndio ina watu weusi na wahispania wengi kuliko Democrats inakuaje tena ndio wawe racists? Nachojua republican ndio racists.
Pia uislam na communism wapi na wapi? Hivi unajua hao communists kama China wanavyoua waislam huko Uighur? Huko Russia tu wanaua sana waislam wa huko chechnya na Khorasia, Hakuna popote communists na waislam wanaiva pamoja.
Pia communists na Democrats hakuna mahali wanaiva, mfano communists mara nyingi ni conservatives yaani communists hawana sera za ki-liberali kama mipaka huru, uhuru wa kuabudu, usawa wa kijinsia, uchumi kumilikiwa na raia, vyama vingi n.k yaani leo Democrats haiwezi kuwepo Russia au China sasa wapi na wapi.
Huu mchoro ni feki