Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

Mbona waafrika huwa tunapewa pesa na silaha tunapigana wenyewe huku wazungu wakitucheka. Wao wanaangalia maslahi yao na wanawagawa mfano Saudi anamuona iran adui kisa tu ni shia wao sunni zote hizo propaganda za USA kugawa watu ili wapigane wenyewe.
Naona hujanielewa, ninachojaribu kusema ni kwamba; waislam kamwe hawawezi kukubali Marekani iwatumie katika kufanikisha malengo yake ya kisiasa duniani huku wakijua fika kwamba kwa kufanya hivyo wanaidhalilisha dini yao kwa kukubali kujihusisha na vitendo vya kigaidi.

Kwa mantiki hiyo ni kwamba hivyo vikundi vya kigaidi haviwezi kuwa vinaundwa na Marekani kwa kuwatumia waislamu eti na wenyewe waislamu pia wakubali kutumiwa na Marekani, huu ni uongo wa dhahiri kabisa.

Hivi vikundi vya kigaidi vya kiislamu vinaanzishwa na waislamu wenyewe kwa maslahi ya dini yao na ndio maana mara nyingi unakuta Marekani wenyewe ndio wahanga wakuu wa vikundi hivi vya kigaidi vya kiislamu.
 
We jamaa mtu mzima sana lakini unapenda sana uongo without factual evidence na unasema vitu kwa confidence without citations

Nation of Islam, NOI ilianzishwa Detroit na Wallace Fard Muhammad, hakuwa British, possibly from New Zealand, hata uraia wake hasa haujulikani
Hakuna historical evidence that he was a British communist. NOI haikuanza kama imani bali political movement au brotherhood ya blacks against white supremacy ya hao wazungu wabaguzi unaowaabudu

Elijah Muhammad na Louis Farakhan ndio waliipa sura mpya kama dini lakini haikufuata mainstream au orthodox Islamic teachings ndio maana watu kama Malik al Shabbaz (Malcolm X) baada ya kwenda hajj Makkah akaamua kuachana nao na ndio chanzo cha kumuua

The so called Communists have included millions of people across different countries and periods of history.
USSR i.e the former Soviet Union, the former Yugoslavia, the former Chekoslovakia, Hungary, Poland, East Germany etc zilikuwa communist, zimesaidia Liberation struggles kwa nchi za Afrika against imperialist entities kutoka West Europe zenye racist ideologies
Communists’ attitudes toward other race have varied:
Kuna communist movements which actively opposed racial segregation and supported anti-colonial struggles.
Yes, it is true that some communist governments eg South Afrika ya Makaburu and individuals engaged in discrimination or repression against various ethnic groups but others had little focus on race at all.

Kuna communists wengi waliolewa na kuoa watu weusi kutoka sehemu mbalimbali Afrika na Latin Amerika

Hao Jews mnaowaabudu si ndio waanzilishi wa Communism?
Karl Marx sio Jewish?
 
Hizi picha ni feki tu.

Ni kweli kwamba Khmer Rouge iliungwa mkono na Marekani lakini M23 ilianzishwa na Rwanda na hilo halina ubishi.
 

alikuwa white english wazazi wake walizaliwa british india, its a well established fact, alikuwa communist na ndiye aliyeanzisha nation of islam in USA kwa kusudi la kuwadanganya na kuwageuza black americans kuwa muslims ili waichukie USA, elijah Muhammad, farakan mpaka boxer Cassius Clay (Muhammad ali) wote ni walibadilisha/badilishwa dini na kuwa muslims na kuishambulia Christian USA lengo ni kuibomoa Christian USA from within.

ofcourse wanaficha identity yake wanasema elijah Muhammad ndiye muanzilishi wa nation of islam ili ionekane kama ni black people wenyewe ndiyo waliokumbatia islam kwamba ni organic growth lkn siyo kweli, black amerikans kama tu africans wanatumiwa na communists na muslims kupigana vita hata wasio ielewa lkn alikuwa ni mzungu communist of english descent ...
 
This is the classic pattern of conspiracy thinking, start with a conclusion, connect unrelated facts, fill the gaps with speculation, then call it hidden history.

History isn’t built on it makes sense to me. It’s built on documents, contemporaneous records and verifiable evidence. If the claim is well established, producing credible academic sources should be easy.

Hakuna serious historian anayekubali kwamba Nation of Islam ilikuwa communist operation ya ku-destabilize “Christian” USA. That’s a conspiracy claim, not an established historical fact.

Hakuna evidence kwamba Fard alikuwa communist au alikuwa ametumwa na Soviet Union kuanzisha Islam Marekani. Extraordinary claims require extraordinary evidence.

Watu hubadili dini kwa sababu mbalimbali, kuvutiwa na dini yenyewe, socially, politically, economically, etc na motives zao haziwezi kuthibitishwa kwa speculation.

US is not a Christian country as much as Tanzania is not just because kuna Christian majority
Nchi ya kikristo, tena RC only, by definition ni Vatican

Nchi gani ya kikriso inashabikia genocide, homosexuality, same sex marriage etc?
Muhammad Ali alipinga vita vya US na Vietnam akavuliwa ubingwa wa ngumi duniani
Malik Shabaz (Malcolm X) alipinnga ubaguzi wa wazungu
Wapi ukomunisti unahusika?

US wanalalamika wanatumiwa ktk vita vya Israel na pesa inaenda nje wakati kwao kuna matatizo
Ndiyo agenda iliyompa kura Zahran Madani na ndiyo imembeba Dk Abdul el Sayed mpaka sasa
 

unaona sasa, kwako unafikiri communists=soviet, communism haikuanzishwa na soviets hata wao russians, east europeans & co. ni victims wa communism pia, karl marx na f.hegel walikuwa wajerumani na siyo eastern europeans kwanza hata siajabu hawakuwahi kufika russia, btw lenin na bolsheviks walikwenda ku-establish communism in russia kwa treni wakitokea switzerland.

karl marx amefia na kuzikwa london, england ...
 

Sasa umehamia kwenye facts ambazo almost nobody disputes, lakini bado hazithibitishi claim yako ya awali.

Ndiyo, Karl Marx alikuwa German, Jewish German for the records, Lenin alisafiri kutoka Switzerland kwenda Russia mwaka 1917 kupitia sealed train. Yes, Marx alifia na kuzikwa London.

Then….so what?

Hizo ni historical facts ambazo haziongezi hata chembe ya ushahidi kwamba Nation of Islam ilikuwa communist project au kwamba founder wake alikuwa British communist.

You’re changing the subject. Hii inaitwa red herring, unaacha hoja iliyokuwa inajadiliwa na kuleta facts ambazo ni kweli lakini hazijibu challenge.

Logic 101:

Marx kuwa Mjerumani ✅
Lenin kutoka Switzerland kwenda Russia ✅
Marx kuzikwa London ✅

Therefore Nation of Islam was created by communists. ❌

That’s not how historical reasoning works.

Kama claim yako ni kwamba founder wa Nation of Islam alikuwa communist agent, basi leta primary evidence i.e party membership, intelligence files, personal writings, government archives au peer-reviewed historical research. Siyo kuorodhesha unrelated facts halafu uruke mpaka conclusion.

History isn’t won by name-dropping Marx and Lenin. It’s won by evidence that actually connects premise to conclusion.

Nenda kaanze darasa la KKK kwanza maana hata kuandika kwako ni tabu, hakuna punctuation, capitalization wala proper phrasing!

It’s embarassing for a 50+ old woman (so I guess going by your pen name) kuandika kama Memkwa!
 
Ndiyo nipo mashariki ya kati mwaka wa one sasa!!

Na shughuli zangu zinaenda sawa tu kuna picha zangu nyingi tu nimeonyesha nikiwa sehemu mvalimbali za Israel kwa hiyo uongo wenu na waarabu wenu naujua vizuri sana!!!
Hao walebanon wakristo wanaouwawa huko kusini mwa Lebanon wamekosea nini? Kama magaidi ni waislam, je kwanini wakristo wauwawe na vijiji vyao vichomwe moto?

Nchi zote wanazopigana na Israel walihusika moja kwa moja kuishambulia Israel!!
Israel ilivamia Syria baada ya Al Sharaa kumuangusha Al Assad na vijiji kibao tu vimetekwa na IDF sasa naomba uniambie, Al Sharaa amewakosea nini Israel au amewahi kurusha hata jiwe kuelekea Israel? Kwahiyo ni dhahiri umedanganya.

Israel intake Tanzania kivipi!! Au mna mpango wa kushirikiana na Magaidi wa Hamas kuishambulia Israel? Au mna mpango wa kuwapa base Iran ili waishambulie Israel kutokea Tanzania? Kwa mtindo huo mtaiibua Israel nchini mwenu!
Acha utoto kwani serikali ya somalia imewakosea nini Israel? Kwanini imeenda kuwa support magaidi wa Somaliland kupambana na serikali halali ya kidemokrasia? Kama somalia wamevamiwa na hawajakosea lolote basi Kenya na Tanzania zitafuata na hiyo siku ikifika ndio tutatia akili.
 
Kwanini unakataa mambo ambayo Trump mwenyewe anakiri.

1. Hii video Trump anakiri kumpa silaha na pesa muasisi wa Al Qaeda ya Syria (Al Nusra front) na Islamic State in Syria (ISIS) bwana Al Jolani (Al Sharaa kwa sasa) kupindua serikali ya Al Assad. Je unaweza kumpinga Trump kufadhili magaidi?


View: https://youtube.com/shorts/uTjH6FY_ucg?si=wH4iiH1FTmyzjNC3
2. Trump pia alikiri kuwapa silaha wapigaji wa kikurdi huko iran (PJAK) ili wapindue serikali ya Iran je kwanini Marekani iwape silaha na pesa magaidi?


View: https://youtu.be/TsY4I_9BRR0?si=wEX6j1TIkDrhI16_
Hizi ni video za mwaka huu tu hapa sijaongelea operation cyclone ya 1979 ambapo USA iliwapa mujahideen pesa na silaha. Na haya mambo yapo public sielewi tunachobishana ni nini. Hii video inaonyesha press conference ya Ronald Reagan akiwa na "magaidi" ikulu ya marekani mwaka 1986.


View: https://youtu.be/c9RWtx8myQc?si=ItUPDsRKTCa5NP0bNachoweza kusema Marekani huwa inaangalia maslahi yake kwanza, mfano ilipoanzisa Taleban walijua itapambana na Urusi pekee ila baada ya vita wale Taleban wakawa na nguvu mpaka kushika dola sasa walipokataa kuwa mateka wa US ndio wakaitwa magaidi!!

Cc Proved
 
Huyu Kijakazi ana propaganda hasi sana dhidi ya communists na Muslims... comments zake nyingi zimejaa propaganda tu
 
Hao walebanon wakristo wanaouwawa huko kusini mwa Lebanon wamekosea nini? Kama magaidi ni waislam, je kwanini wakristo wauwawe na vijiji vyao vichomwe moto?
Ukiondoa Arabs/Muslims Propaganda dhidi ya Wayahudi hakuna wakristo waliouwawa huko Lebanon kwa sababu ya UKRISTO wao ua uislamu wao!! Ni uongo tu unaoenezwa na waarabu dhidi ya adui yao Israel!!
A
Israel ilivamia Syria baada ya Al Sharaa kumuangusha Al Assad na vijiji kibao tu vimetekwa na IDF sasa naomba uniambie, Al Sharaa amewakosea nini Israel au amewahi kurusha hata jiwe kuelekea Israel? Kwahiyo ni dhahiri umedanganya.
Kwa Ujinga wako wewe unasema vimetekwa lakini hizo ni Buffer-Zones tu na Wakristo maeneo hayo wanategemea sana ulinzi kutoka kwa Askari wa Israel Kuwa Linda na hao Jihads
Acha kujitoa akili Somaliland ni nchi hata Kama Wafuga Midevu na Majini hamuitambui wanategemea uhuru wa kuwa na Ubalozi na nchi yoyote hata Kama ni Israel!!!

Jichanganyeni tu hapo kuleta Ugaidi mtafyekwa wote!!!
 
Ukiondoa Arabs/Muslims Propaganda dhidi ya Wayahudi hakuna wakristo waliouwawa huko Lebanon kwa sababu ya UKRISTO wao ua uislamu wao!! Ni uongo tu unaoenezwa na waarabu dhidi ya adui yao Israel!
Kwahiyo kulipua makanisa ni halali? Hiyo picha nimeweka hapo huoni kanisa limelipuliwa? Kwanini lilipuliwe ilihali raia wote walishaambiwa waondoke na wakatii? Hawataki watu waabudu? Wanamaliza ukristo alafu nyie wapuuzi mnawachekea tu
 
Kwa Ujinga wako wewe unasema vimetekwa lakini hizo ni Buffer-Zones tu na Wakristo maeneo hayo wanategemea sana ulinzi kutoka kwa Askari wa Israel Kuwa Linda na hao Jihads
Jibu swali kwani ni lini Syria ya Al Sharaa imerusha hata mchanga tu Israel hadi wahitaji Buffer zone? Wewe umedai mpaka wachokozwe je wamechokozwa lini ilihali Al Sharaa ni kibaraka wao?

We jamaa haujui kabisa geopolitics ila unaongozwa na mahaba tu ya kidini. Hivi unajua huyo Al sharaa ameuwa wakristo wangapi kwa support ya Israel na USA huko Syria?
 
I’m worried democrats wanapoteza hiki kiti November, wazungu wengi kusapoti kobazi ni ngumu sana hata kama democrats mwenzao
choxo wewe unakaa mapumbung'ulo huko halafu unajifanya mcha-mbuzi wa siasa za US nyang'au, wewe pambana na viroboto hao kwa kirago unalalia
 
choxo wewe unakaa mapumbung'ulo huko halafu unajifanya mcha-mbuzi wa siasa za US nyang'au, wewe pambana na viroboto hao kwa kirago unalalia
Wee shoga nipo Pasadena California, wewe endelea kuumwa na viroboto na mashoga wenzako
 
Wewe kazi yako ni uzushi hata Israel inajua Al Sharaa ni jihadist kwa hiyo wewe huwezi kuifundisha israel namna ya kushughulikia magaidi!!

Ulivyo mjinga na muongo unadai Al Sharaa ni kibaraka wa Israell nijibu kwa akili yako kiduchu hiyo Buffer zones za nini wakati kibaraka wao? Acha ujinga wako!!
 
Ni jihadist? Mbona mlimpa silaha na pesa hadi akapata urais? Kwahiyo Israel na US inafadhili jihadists?

Bora umekiri leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…