Hii nchi sio ya vipimo ama majaribio,
Hoja zako ni too general. Ndo maana Dr Slaa akakuambia Shut Up Yeriko. Mpaka ukapigwa ban ya wiki. Sasa umeanza kuandika mambo ambayo hayana uhalisia
Ndio maana hatutamchagua Lowassa. Tunamfahamu vema, pia tulishirikiana kuponda humu humu. Why leo ageuke lulu? Dhambi ya ulaghai na unafiki wa kisiasa itawamalizeni.
Hii nchi sio ya vipimo ama majaribio,
bw Yericko,
ingekuwa vizuri zaid ukitumia nafasi yako kutuleza kwanini tuiamini chadema wakati mlituaminisha kwamba LOWASSA ni fisadi na alihusika na RICHMOND alafu leo hii mnatuambia ni msafi na muadilifu??
Kama mmeyakana maneno yenu mchana kweupe, Je mkiingia ikulu SI MTATUSALITI ALFAJIRI NA MAPEMA??
Mwisho naomba niulize LIST OF SHAME NI ILE ILE AU IMEKUWA EDITED???
mkuu muache yericko maana kuwa mtuma ni kitu kibaya, yeye mtu ambaye amekuwa bubu miaka saba kwake ni bora kuriko mtu ambaye miaka yote amekuwa akiwatumikia watanzania,
hata kama ni siasa za siasa na utumwa wa kununuliwa hakuna riziki inayopatikana nje ya haki ikawa na baraka,
nafikiri angetwambia ububu wa mtu wake miaka saba kwa nini kuriko upuuzi anaouleta kuwapofusha watanzania,