Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015


Its very true
 
Lowassa Wako Ana Mara 100 Ya Hivyo Vya Rais Dr. John Pombe Magufuli. Wivu Tu Na Chuki Zinakusumbua! Wewe Ungepewa Cheo Usingeiba? Acha UNAFIKI Na KUTUMIKA Kama Karatasi Ya Msalani. Tanzania INAMUHITAJI Magafuli Na HAIMTAKI Lowassa.

Woote mantanange hivi nyie machalii ni nani aliyewaloga ? Chama ni taasisi haiongozwi na mtu mmoja utake usitake kwa siasa hizi za ccm lowassa kupewa cheo sitashangaa manake mfumo wa ccm kwa sasa upo kiwiziwizi na ndio maana lile azimio la Arusha hawataki hata kuliona huyo magufuli unaomwona yupo njema jiulize kwenye katiba si ndio hao hao waliotuchinjia baharini ccm my foot.
 
Atakuwa bora sana. Wewe unalako jambo tu. Watu chakavu wamewekwa pembeni na kuchukuliwa wasafi akina Dr Magufuri.
 

mkuu hata mimi nimefanya kazi kubwa humu jf,na nilimuomba mungu atupe mtu wakutusaidia taifa limeyumba sikujali chama bali nilifikiria taifa kwanza na mtu anayetakiwa mungu ibari tanzania ,
tumempata nyerere mwingine nawapongeza walimu ili waweze kupitia magufuli kulitoa taifa hili mahali lilipo kama walivyolitoa utumwani

 
Atakuwa bora sana. Wewe unalako jambo tu. Watu chakavu wamewekwa pembeni na kuchukuliwa wasafi akina Dr Magufuri.

mkuu nawasikitikia baraza la mawaziri wake na wale waliozoea kulala ofisini badara ya kuwatumikia watanzania
 
Hongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha

Naomba nikutambue Lizaboni kama mtu ambaye muda wote toka kitambo ulisimama kwa Magufuli
 
Mgombea Urais CCM 2015 ni Magufuli kura 2104 out of 2422. kura zilizoharibika 6. Kura halali 2416.
Source: TBC live
 

Endelea kujidanganya
 
Amebaki Magufuli,wanawake wote wanne sasa wametoka

Sasa mnaweza kuona jinsi ilivyo ngumu kwa nchi hii kuongozwa na raisi mwanamke.Pamoja na wingi wao kuwazidi wanaume ila bado mwanamke kumpa mwanamke mwenzie kura pamoja na ngonjera zote utakazozisikia kwenye vyombo vya habari kuwa wanawake tunapendana bado uwezekano huo ni mdogo mno.Utaratibu ni kuwa sa sa Amina atakuwa makamu wa raisi/mgombea mwenza. Migiro watamtafutia nafasi serikalini wakiingia madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…