Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Kura yangu ni kwa UKAWA kunazia diwani mpaka Rais. Gari bovu limeoza lote unabadilisha dereva tu alafu unategemea abiria wendawazimu na mazuzu washangilie kupata dereva mzuri wakati gari ndo bovu!!!

Mateka wa Tengeru na Ufipa utawajua tu...
 
Yaan hii kama ni kubeti mhindi kapiga hela sana..duh Samia...namkumbuka alikua makamu mwenyekiti wa bunge lile la katiba..Hawa CCM hawa..makamu wa raisi mwanamke..
 

Pole sana mkuu mlinzi wa kiongozi mwandamizi.....umeumbukaaaaaa.. ....
 

Wewe mwehu una ugomvi gani na Magufuli kila thread unapost hii makitu! Mimi Ukawa lakini sina chuki za kijinga hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…