Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura yangu ni kwa UKAWA kunazia diwani mpaka Rais. Gari bovu limeoza lote unabadilisha dereva tu alafu unategemea abiria wendawazimu na mazuzu washangilie kupata dereva mzuri wakati gari ndo bovu!!!
Acha kupitisha ni Samia h. Sululu
Katika hali isiyotarajiwa, majina matatu yanawapasua vichwa vigogo Nani awe mgombea Mwenza, ambao ni Shamsi Vuai Nahodha, Hussain Mwinyi na Seif Khatib, huku spika Makinda akimpendekeza Amina ili kupata kura za Zanzibar. Karume hataki jina la Nahodha na Dr Shein anaomba Bilal aendelee ili kupunguza uzito wa kampeni Zanzibar.
Source : Mlinzi wa kiongozi mwandamizi.
Update zitakuja baada ya muafaka.
Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha
viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa
katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba
ndogo.
Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa
nane(kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously
kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si
itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa hafai
kuongoza nchi hii.