geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 646
Upende usipende Lake Zone ndani ya MAGOGONI na sio MANVI wako tangulia kujiua ufe haraka kabla ya Boss wako hajafa maana afya yenyewe mbofumbofu
[/LIST]
Kwa sababu ya ujinga tu. Otherwise how else would you explain it? Watu wana maisha magumu, kero chungu nzima, na kila aina ya adha ambazo zimekua na kushamiri chini ya uongozi wa chama hicho hicho tokea tupate uhuru lakini hata siku moja hawafikirii kubadili walau na kujaribu huko kwingine kuona kuna nini.
Na CCM wameshalijua hilo [na wala hauhitaji kuwa genius kulibaini hilo] na wameshaugeuza huo ujinnga kuwa ndo mtaji wao wa kisiasa.
Inasikitisha sana kuona watu ambao unadhani labda wamefanikiwa kufuta ujinga kwa kiasi fulani wakiingia mkenge na kuhemka kisa tu eti Magufuli ndo atakuwa rais.
Kwamba kwa sababu huwa anatamka takwimu za madaraja na sijui mabarabara yale [ambazo hata huwa hazithibitishwi na yeyote yule kama zina ukweli au la] basi eti jamaa ni jembe, ni kichwa, na kila aina ya sifa za kipuuzi puuzi.
Na katika uchaguzi wowote ule ambao mwamuzi/ msimamizi wake ni makada wa CCM [tume ya uchaguzi] wapinzani wasahau kabisa kuiondoa CCM madarakani.
Kwa sababu nimeshashawishika kuamini kwamba njia pekee ya kuiondoa CCM madarakani ni kupitia maasi ya umma kama ilivyotokea kule Misri na Tunisia. Lakini najua kabisa hilo hapa kwetu ni ndoto za alinacha.
Kimweri,
..siasa za tz ni ngumu kuliko nchi nyingine.
..kwa mfano hakuna labor unions ambazo zingeweza kuichallenge Ccm.
..pic haiwezekani kucheza siasa za kikabila nchi huku tanganyika. Numbers just don't add up. Kenya unaweza kuanzisha cha ma cha kikabila na within a year ukashinda uchaguzi.
..vilevile ccm imeweza kuzuia kumeguka na wanachama na viongozi wake kuanzisha chama kip ya.
..Kwamba Ccm haikumeguka imesababisha Vyama vya upinzani vianzishwe na watu ambao si wanasiasa au wanasiasa ambao wamechuja au wako past their prime. Kwa mfano Mtei, Makani, na wenzao walioasisi Cdm hawakuwa wanasiasa. Pita prof.lipumba wa cuf siyo mwanasiasa ndiyo mañana unaona uchaguzi mkuu ukiisha anarudi kwenye taaluma yake badala ya kujenga chama.
..kwasababu ya kukosekana kwa watu ambao wana WITO wa kweli wa siasa ktk vya upinzani kumepelekea vyama hivyo kudumaa kwa muda Mrefu.
..Cdm wamebahatika kwa na kiongozi kama Dr.Slaa ambaye ameweza kuchukua jukumu la kazi ngumu ya kujenga chama ktk mazingira magumu ya hapa nyumbani. Huyu mzee naweza kusema ni mmoja wa wanasiasa wa aina yake kupata kutokea tanzania. Kama huamini jiulize Kama kuna mwanasiasa yeyote yule wa rika lake angeweza kujenga chama kama alivyofanya Dr.Slaa.
..kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ndiyo mara ya kwanza vyama vya upinzani vina nafasi ya kushinda.
Watanzania hawajajitambua.
Huyo mlinzi amekosa weledi kama ni kweliKatika hali isiyotarajiwa, majina matatu yanawapasua vichwa vigogo Nani awe mgombea Mwenza, ambao ni Shamsi Vuai Nahodha, Hussain Mwinyi na Seif Khatib, huku spika Makinda akimpendekeza Amina ili kupata kura za Zanzibar. Karume hataki jina la Nahodha na Dr Shein anaomba Bilal aendelee ili kupunguza uzito wa kampeni Zanzibar.
Source : Mlinzi wa kiongozi mwandamizi.
Update zitakuja baada ya muafaka.
Huyu mkurupukaji asiyefuata sheria?! Haya tutaona.Usije ukanikumbuka tu.
Hapana, umekosea.
Influence ya Lowassa iliishia nje ya vikao vya chama.
JK kamuweka mtu wake, aliyemuongezea ulinzi na kumpa right hand man mwezi mzima. wagombea wote wa-5 wa CCM jana walikuwa watuwa JK hand picked.
Poleni sana kwa kuchezewa shere na JK.
Tatizo la Watanzania ni usahalifu walio nao. Pia hawajali kuhusu wenyewe na nchi yao. Upepo kidogo tu wa kitu unawabadilisha mawazo mfano Magufuli ongea yake tu basi wameshamuona anafaa.
Ujinga wa wengi nao ni mtaji wa Watanzania kubadilishiwa mvinyo na kuwekwa chupa mpya.
Uoga wa mabadiliko kwa Watanzania nayo inachangia wakiambiwa tu labda wapinzani hawafai sijui vita vurugu basi wanaogopa.
Ukosefu wa uzalendo na kutokujali future ya nchi na vizazi vijavyo. Hadi wasomi nao wananunulika hadi watu wa kawaida kiurahisi.
Hii ya Magufuli haina tofauti na Jk 2005 watu walidaganyika kiurahisi, matokeo yake tumeyashuhudia.
Tatizo la Watanzania ni usahalifu walio nao. Pia hawajali kuhusu wenyewe na nchi yao. Upepo kidogo tu wa kitu unawabadilisha mawazo mfano Magufuli ongea yake tu basi wameshamuona anafaa.
Ujinga wa wengi nao ni mtaji wa Watanzania kubadilishiwa mvinyo na kuwekwa chupa mpya.
Uoga wa mabadiliko kwa Watanzania nayo inachangia wakiambiwa tu labda wapinzani hawafai sijui vita vurugu basi wanaogopa.
Ukosefu wa uzalendo na kutokujali future ya nchi na vizazi vijavyo. Hadi wasomi nao wananunulika hadi watu wa kawaida kiurahisi.
Hii ya Magufuli haina tofauti na Jk 2005 watu walidaganyika kiurahisi, matokeo yake tumeyashuhudia.
Kimweri,
..siasa za tz ni ngumu kuliko nchi nyingine.
..kwa mfano hakuna labor unions ambazo zingeweza kuichallenge Ccm.
..pic haiwezekani kucheza siasa za kikabila nchi huku tanganyika. Numbers just don't add up. Kenya unaweza kuanzisha cha ma cha kikabila na within a year ukashinda uchaguzi.
..vilevile ccm imeweza kuzuia kumeguka na wanachama na viongozi wake kuanzisha chama kip ya.
..Kwamba Ccm haikumeguka imesababisha Vyama vya upinzani vianzishwe na watu ambao si wanasiasa au wanasiasa ambao wamechuja au wako past their prime. Kwa mfano Mtei, Makani, na wenzao walioasisi Cdm hawakuwa wanasiasa. Pita prof.lipumba wa cuf siyo mwanasiasa ndiyo mañana unaona uchaguzi mkuu ukiisha anarudi kwenye taaluma yake badala ya kujenga chama.
..kwasababu ya kukosekana kwa watu ambao wana WITO wa kweli wa siasa ktk vya upinzani kumepelekea vyama hivyo kudumaa kwa muda Mrefu.
..Cdm wamebahatika kwa na kiongozi kama Dr.Slaa ambaye ameweza kuchukua jukumu la kazi ngumu ya kujenga chama ktk mazingira magumu ya hapa nyumbani. Huyu mzee naweza kusema ni mmoja wa wanasiasa wa aina yake kupata kutokea tanzania. Kama huamini jiulize Kama kuna mwanasiasa yeyote yule wa rika lake angeweza kujenga chama kama alivyofanya Dr.Slaa.
..kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ndiyo mara ya kwanza vyama vya upinzani vina nafasi ya kushinda.
Ukawa saivi wanakideri
Zaidi ya kusikitisha sana tu ujinga ni tatizo linalokwamisha maendeleo ya hili taifa. Na ukitaka kuwatawala watu kiurahisi basi wanyime elimu iliyo bora, na tatizo lingine ubinafsi mtu akipata anajifikiria mwenyewe.Yaani kuna Watanzania wananisikitisha sana.
Adui ujinga bado kabisa hatujamshinda na CCM wanamtumia vyema sana huyo adui kwa manufaa yao.
Eniwei, nisiseme sana....yangu macho.
Njia ya kuzuia huu ulaghai ni ku-disect hoja na kauli zinazotolewa kwa hoja na majibu yenye kufikirisha. Kama anasema akija yeye atafanya hivi, Upinzani unatakiwa useme kwa nini hatafanya.
Huwezi kusema utakuza demokrasia kwa mfano wakati umechaguliwa kupitia uchaguzi ambao kura zimehesabiwa kifichoni tena usiku kucha.kura 2,000.
Upinzani wanatakiwa waanze kujifunza ku-attack mapungufu ya CCM, na sio wagombea wa CCM. Upinzani unatakwa ku-perfect art ya kuonesha kuwa tatizo la CCM ni system nzima CCM iliyopo, inayozuia wachaguliwa kupitia CCM kufanya mambo bora tofauti na System.
Lakini Kimweri, sawa, nakubali kwamba wapinzani nao wana mapungufu yao. Lakini pia let's cut them some slack. They are not competing on a level-playing field. The odds are overwhelmingly stacked against them.
I mean, it's joke that the members of the election committee [at least the top brass as far as I know] are selected by the president who is a chairman of the ruling party. Who do you think they will be beholden to? No-brainer! They will beholden to whoever hooked them up. It's a big 'ol joke that ain't even funny.
Ndio komedi zenyewe. Kinachonikera kuhusu CCM ni kuwa wote wanageuka kuwa a bunch of corrupt group as long as wakiahidiana vyeo.watch this space, asilimia 80 ya waliokatwa utawakuta kwenye serikali ijayo. hawa hawa tulioambiwa wachafu hawafai, wametoa rushwa, hawajakomaa etc etc. Vigezo vya CCM kesho unasikia wameteuliwa. Kina chenge CC nzima iliwaita magamba, kesho yake wakawaaamini waandike katiba. Lowassa katukanwa na kila mwana CCM kuwa naagawa rushwa apate uongozi, leo hii wanamuweka High table,halafu anaitwa mchapakazi wakati raisi akifunga bunge na anashukuriwa kwa kazi nzuri.Halafu, kabla hata ya hao tatu bora....wale wengine 35 walikatwa katwaje? Walipigiwa kura? Huo mchakato wa kuwaengua ulikuwa huru, wa haki, na uwazi kiasi gani?
Au walienguliwa tu at the whims of the powers that be? It still boggles my mind how J. Makamba and Amina Salum Ali made it to the top 5 and Mark Mwandosya and Augustine Mahiga didn't.
How did that happen?
Huo ni ushauri mzuri ila huoni kwamba hata wakifanya hivyo kelele zao zita fall on deaf ears kutokana na ujinga wa masses?