Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Nakubaliana na wewe100%100 wanao jekelea Leo na kufurahia Leo kesho watanuna na Julia jamaa hafai hafai hii hali ilokuwapo itazidi Mara mia kher na tuombe mungu ukawa wakubaliane slaa anatosha madhali Zanzibar atatoka mwenza waziri mkuu lipumba mambo ya nje nccr speaker mboe
 
Wewe utakuwa mmojawapo kati ya hawa wafuatao:- (a) Team Lowassa (b)Una malori (c) Umejenga barabarani. Pole
 
Magufuli anafaa. Kiongozi mzur ni yule anayetengeneza timu nzur imsaidie. Kwa jinsi yey alivyo kinachotakiwa ni yeye kuja kuunda timu nzuri tu basi.

Eti kujuana. Magufuli ni mmoja kati ya mawaziri wawili waliokuwa wanajulikana na kukubalika zaidi kwa wananchi wa kawaida - wapiga kura. Mwingine ni mwakyembe.
 
Tatizo lingine hata husemi we uliona nani anafaa halafu tuwalinganishe. Nani alikuwa hana mapungufu? Mtaje. Au ulikuwa unasubir atajwe yeyote uanze kumshanbulia? Kumbuka, hakukuwa na malaika kati yao. Lakin magufuli was the best.

Rais mzur ni yule anayeweza kuaddress challenges za nchi kwa wakati huo. Kwasasa ni yeye
 
Na bado mtaweweseka sana jipeni moyo muishi kwa matumaini kama ili safari yenu ya matumaini wakati sisi tunahitaji safari ya uhakika
 
Tatizo lingine hata husemi we uliona nani anafaa halafu tuwalinganishe. Nani alikuwa hana mapungufu? Mtaje. Au ulikuwa unasubir atajwe yeyote uanze kumshanbulia? Kumbuka, hakukuwa na malaika kati yao. Lakin magufuli was the best.

Rais mzur ni yule anayeweza kuaddress challenges za nchi kwa wakati huo. Kwasasa ni yeye

wa ukawa wote ni malaika hawana mapungufu.
 
Mi naona kama ukawa wamepagawa hawakutegemea kama ccm watatoa mtu safi.sasa kila mwana ukawa anajaribu kumchusha hadhi magufuli kinguvu.muhimu ni kujipanga tu jinsi ya kuomba kura jamaa hachafuliki
 
Ninawapongeza CCM kwq kiini macho hichi, mafisadi wako salama chini ya Mwalimu J P Magufuri.

Kutokana na uwelewa mdogo wa watanzania wengi ni rahisi sana kuwateka akili zao kwa kuficha uchafu wa ccm kwa kivuli cha Mwl. J. P. MAGUFULI

Mfumo wa kifisadi ulivyo ndani ya ccm hata kama rais angekuwa MALAIKA hawezi kufanya lolote. huyu mwl John Pombe atatumika tu na mafisadi kama walivyotumika wengine.

MABADILIKO NDIO SULUHU ya nguvu za mafisadi kwa sasa, chagua UKAWA ili kwanza kuvunja mitandao ya kifisadi ya CCM, pili iwe fundisho kuwa tanzania bila CCM inawezekana tatu CCM wapate adabu wajuwe kuwe demokrasia ya kweli ni ustawi wa wananchi na siyo wageni.

CHAGUA UKAWA, WAKATI NI HUU
 
Kimweri
Nadhani tatizo ni wananchi kaeleza vizuri Nyani Ngabu

Hivi wananchi wataacha lini kunywa mvinyo kwenye chupa mpya ikiwa wanajua ndio chanzo cha matumbo yao kuuma na kuhara?

Na lini wananchi watajaribu mvinyo wa chupa isiyo na mvuto hata kama wana shaka ya kuumwa tumbo na kuhara? Si sawa tu na mvinyo kwenye chupa mpya?

Einstein anaeleza insanity, kwamba ni kufanya jambo lilelile kila mara ukitegemea matokeo tofauti.
Watanzani wana insanity


‘’Failure isn’t falling down but refusing to get up’’
Watanzania wana failure, maana miaka 50 wamekataa kusimama


Ningekuwa Watanzania ningesema potelea mbali this time nampa Dovutwa, miaka 5 si mingi kuliko 50 iliyopotea. Kupitia Dovutwa naweza kujifunza namna bora ya kchagua na kupata mvinyo bora
 
Last edited by a moderator:
habar wakuu, baada ya ccm kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya kijani na njano ambay ni dr.Magufuli katibu mkuu wa CDM dr.Slaa ameibuka na kusema kamwe Magufuli hawez kufua dafu UKAWA.
source:gazeti la nipashe
 
Back
Top Bottom