DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Mimi Binafsi Limeridhika Na Uteuzi Wa Dk.Magufuli Kama Mgombea Uraisi Kwa Tiketi Ya Chama Cha Mapinduzi.Hakuna Ubishi Wowote Kuhusu Utendaji Kazi Wake Na Uchapakazi Wake Na Uadilifu Wake.Hana Skendo Za Ufisadi Na Ubadhilifu Wa Pesa Za Umma.Ccm Wana Akili Sana Na Natumia Nafasi Hii Kuwapongeza Kwa Kulisimamisha Jembe.Ukawa Wanatakiwa Wajipange Upya Kwasababu Hili Jembe Litawatoa Kamasi Na Litawasumbua Sana Kwasababu Linakubalika Na Watanzania Walio Wengi.Mimi Binafsi Ni Ukawa Damu Lakini Kwa Nafasi Ya Uraisi Kura Yangu Naiweka Kwa Hili Bulldoza Bingwa Wa Kukariri Liende Likatifuetifue Na Kungoa Magugu Pale Ikulu.Ninaimani Kubwa Sana Na Dk.Magufuli Kwa Uzalendo Wake.He Is An Asset And Not A Liability.Kwa Wale Wote Mnaoendelea Kumponda Ongereni Kwa Juhudi Zenu Za Kupaka Rangi Upepo.Ila Ukweli Utabaki Palepale Kua "DK.JOHN POMBE MAGUFULI(THE PRESiDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)"
And Good News Ni Kwamba Hili Jembe Limeshaanza Kupewa Presidential Escort Inapendeza Sana!
And Good News Ni Kwamba Hili Jembe Limeshaanza Kupewa Presidential Escort Inapendeza Sana!