Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Hongera sana kwa kuvunja makundi tulichoka watu hatunywi maji yakashuka lool bora wote wametoka karibu sana mh magufuli
 
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.

endelea kupoteza kura yako jua tu kwa magufuli mwaka huu kazi mnayo,kwaza subili amchukue na mBATIA ndo mtajua,
 
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.

I wish majority ya watu wengi wangekuwa kama wewe,mwenyewe kura yangu ni ukawa hata kama hatutashinda bt i believe hamna marefu yasiyokuwa na ncha ipo siku chama cha upinzani kitaongoza serekali.
 
Mmeanza eeh! hii dunia mbona shida! ukitenda wema utaambiwa anataka sifa!, ukiwa kivyako utaambiwa unajiskia, mlitaka nani awe raisi?!
 

Acheni ujinga. Akichaguliwa anakuwa amechaguliwa Rais wa nchi na silo Rais wa makundi Kama kundi la Wasafi au Akudo
 
Alipokuwa lowassa ktk safari yake ya matumaini iliyoishia dom, humu ilikuwa skendo zake yy na membe tu!. Wamezimwa anzeni kumtengenezea skendo magufuli tena. Mmenoa!. Siasa ya bongo, firigis firigis! Shaabash!
 



Just because you are trying to paint it look like one..makes it one..

May be you mixed up man...it is not me you are talking about, certainly it is some one else...

Let this not be an issue because the difference between me and you is that you need an immediate psychiatric treatment and some therapy to restore your memory...
 

mimi nimefurah deal kuwa dirisha
 
Sasa mbona hizo percent za Mh. Migiro na Mh. Ali zinapishana, moja inasema asilimia 10 nyingine ni asilimia 3. Anyway mleteni sasa huyo Magufuli tunamsubiri na kukutana Oktoba.

Ndo ujue jinsi wataalamu walivyochakachua,hapo huenda Amina ndo aliongoza zikapigwa upside down,chezea maintarahamwe wewe!
 
hapo kwa Magufuli sisiemu wamecheza kama pele
 
Hizo ni fikira za jaha (intuitive think) mfano: 'mimi nampenda tu! Hata akiwa mchafu roho yangu inampenda' Ni kama mikataba ya kitapeli ya Richmond. ' Serikali italipa tu uzalishe umeme, usizalishe unalipa. Ni sawa na hoja yako kwa ukawa. Waweke mtu mwenye sifa au asiye na sifa wewe ni ukawa. CCM waweke mgombea mwenye sifa zote zinazotakiwa wewe ni ukawa. Think twice as a great thinker. Vote for Magu
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.
 
ccm wajanja,wangeleta mwanamke ukawa asubuhi asubuhi wapo ikulu wanakula supu, ila Magufuli is a strong opponent,and i think he will be president. what a miracle, yeye mwenyewe atakua kaenda Dom kukamilisha ratiba tu.
 

Bila shaka wewe ni team Lowasa naona povu linakutoka🙁
 
Magufuli ni miongoni mwa viongoz wanaofanya kazi kwa ukabila na mtu hatari wakuunda sytem.embu waulizen wanaofanyanao kaz ndyo ujue magufuli ni mtu hatari nakuunda makundi

Huwezi kumpata malaika chini ya jua, angalau kwa kiasi fulani anakonga nyoyo za watu.
 
Hongera sana mhe Dr J. P. Magufuli. Mungu akusimamie daima katika safari yako iliyotukuka ya kuelekea Magogoni.
 
....Kwa hiyo ni matakwa ya Magufuli kumchukua amina au kumuacha

Inasemekana kwamba mgombea uRais huwa hana say katika kuchagua running mate.JK mwaka 1995 alilazimishwa tu. Chama ndo kinaamua nani awe mgombea mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…