LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Ukawa tunamsubiri.
Naaaaaaaaaam!!!! Hata wangemrudisha huyo Kikwete safari hii hatoki mtu daaadekiiii!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukawa tunamsubiri.
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.
Hivi unamjua magufuli au ana misimamo yake.
Hongera na karibu sana mwalimu. Tunajua hautatupendelea walimu peke yake lakini 'jini likujualo halikuli likakwisha. Tunategemea sisi walimu, kuwa unapo pakuanzia kwa kuangalia nyayo za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jinsi alivyotujali walimu alivyoinua elimu, alivyoipa kipaumbele. Akasma, nanukuu: 'ukitaka kumsaidia masikini mpe elimu. Kufuatia utafiti wa Wizara ya elimu na ufundi inaonesha elimu imeanza kushuka tangu 2006 mpaka sasa inaendelea kushuka. Mwalimu unapaswa kuliona hilo kabla ya mengine yote. Mcheza kwao hutuzwa
Wewe kimeo soon utaanza kusema huko mtaani kwenu hakuna anayekufuata nyuma nyuma ukitembea inatokea Twitter tu.
Nyie watoto wa juzi tabu sana, kila kitu mnafikiri kinatokea sehmu moja tu. Niko huko twitter toka 2007, hivyo huna cha kunifundisha kuhusu kinachotokea Twitter.
Naandika JF sasa sio twitter, hivyo tusipangiane mukhtadha.
Narudia tena, Stop following me around..,
mkuu hamjui magufuli asubuli aone baraza la mawaziri lake,
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) walikua malaika wake!
Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.
Sasa mbona hizo percent za Mh. Migiro na Mh. Ali zinapishana, moja inasema asilimia 10 nyingine ni asilimia 3. Anyway mleteni sasa huyo Magufuli tunamsubiri na kukutana Oktoba.
Mimi hata asimame nani CCM kura yangu ni UKAWA tu kuanzia diwani,mbunge na rais. Siwezi kuchagua chama kilicholea wizi,umaskini,rushwa,ufisadi na mauaji(ya wakulima na wafugaji) kisa magufuli kashinda,sina muda huoo.
Kazi yake si kukata utepe tu, haina shida. Shida itakuja kama nature itamwondoa Rais.
Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
Magufuli ni miongoni mwa viongoz wanaofanya kazi kwa ukabila na mtu hatari wakuunda sytem.embu waulizen wanaofanyanao kaz ndyo ujue magufuli ni mtu hatari nakuunda makundi
....Kwa hiyo ni matakwa ya Magufuli kumchukua amina au kumuacha