Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

“…hatua ya kwanza itakuwa kumweka mgombea ambaye hakubaliki ndani ya chama na hakubaliki nje ya chama. Itakuwa ni kura ya hasira.”
Hiyo ni kauli ya Mzee-Kingunge Ngombale-Mwiru
-Mwanasiasa mkongwe, na kada wa CCM.

My take:

Dk.John Pombe Magufuli
-anaweza kufurahia kama vile yeye anakubalika sana, lakini wanaCCM wengi walichokifanya ni kitu kinaitwa 'kura za maruhani', Magufuli amepata ushindi wa makusudi makubwa dhidi ya chaguo la viongozi-Bernard Membe
, huku wanaCCM wakifahamu kabisa kuwa-John Pombe Magufuli hana uwezo wa kuwa mwenyekiti wao, na hana uwezo wa kuwa Rais wa JMT kabisaaaaa, sasa watafanyaje? alimradi chama kianguke, kife, wakose wote, na ndivyo itakavyokuwa, kama alivyosema mzee Kingunge.

UKAWA hatufurahii kuvuja kwa pakacha, kwani tulijiandaa vema, na wananchi ndilo tumaini lao, tupo imara, hata CCM wangeweka malaika, ushindi ulikuwa ni 'Guaranteed'. Lakini kwa sasa, nawaambia wanaCCM ambao wameshuhudia kuwa CCM hakuna demokrasia, wameshuhudia kuwa uongozi CCM unanunuliwa, wameshuhudia kuwa RUSHWA nyumbani kwake ni CCM, pamoja na maovu yote, wasikubali kufa kisabuni, waje waungane na wazalendo wa kweli UKAWA, tuijenge nchi kwa pamoja, bila hila.

Chademaaa...Vemaaaa:-
Hakii... Sawaaaaaa:-
NCCR-Mageuziiiiii:-
NLD.... Moto moto motoooooo

Mungu wabariki UKAWA, 2015 Nchi inajengwa kizalendo.
 
Umofia kwenu wana JF,

Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?

Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
Mkuu unatafuta mtu muadirifu ccm?chama chenye sera ya kuendeleza wizi na ufisadi upate mwadilifu?you should be joking
 
JK chali.......

Anatupimia kwa kijiko? Ataumia!

Hureeeeeee TeamLowassa!

Wazee wa mabilioni. Mtakufa mwaka huu, maana hata top ten hamkutokea. Sasa mnajikomba eti mmemkomoa JK. JK ndiye kawakomoa na alimwandaa Machupi vema zaidi. Hata alipotoka kutibu busha aliyetoa taarifa yake ni Machupi
 
Ebhaneeee mimi toka muda mrefu hata kabla ya matokeo haya hili nililitarajia. Ccm ilihitaji mtu kama Magufuli ili kupunguza nguvu ya kura za UKAWA. Mpaka kufikia hapa Kwenye Urais ni 50/50 lolote linaweza kutokea,ngoja tuone.

BACK TANGANYIKA
Kamanda naona nafsi yako inakiri wazi kuwa Dr.Magufuli kaishaimaliza UKAWA.
 
Lowassa Wako Ana Mara 100 Ya Hivyo Vya Rais Dr. John Pombe Magufuli. Wivu Tu Na Chuki Zinakusumbua! Wewe Ungepewa Cheo Usingeiba? Acha UNAFIKI Na KUTUMIKA Kama Karatasi Ya Msalani. Tanzania INAMUHITAJI Magafuli Na HAIMTAKI Lowassa.

Umenena mkuu... Natumai nchi itakuwa ya sheria..
 
Hongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha

Mimi mwenyewe sikutegemea nampa pongezi sana ila awe makini na watakaojikomba kwake kwa ajili ya vyeo wengine hawatakawia kumuingiza kwenye majanga
 
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
Dr.John 🍺🍺 🔓🔓
 
Kamanda naona nafsi yako inakiri wazi kuwa Dr.Magufuli kaishaimaliza UKAWA.
Not necessary ngoja tuone ilani ya ukawa na ya ccm Magufuli not powerfull kiviliile .Ila hongera ccm nice move
 
mmeshindwa kushika siri za chama mtaweza za nchi ? ukawa bana muwemnajievaluate bado makinda nyie
 
Jonh p m kaoa jirani na kwetu, nijiandae kuwa usalama wa taifa, hahaaa nishaula mazee
 
Mimi kwa mawazo yangu nafikiria rais atatoka CCM, basi tuweke nguvu kubwa tupate wabunge wengi wa UKAWA ili serikali isilale.Ni maoni yangu
 
Back
Top Bottom