Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
hatua ya kwanza itakuwa kumweka mgombea ambaye hakubaliki ndani ya chama na hakubaliki nje ya chama. Itakuwa ni kura ya hasira.
Hiyo ni kauli ya Mzee-Kingunge Ngombale-Mwiru
-Mwanasiasa mkongwe, na kada wa CCM.
My take:
Dk.John Pombe Magufuli
-anaweza kufurahia kama vile yeye anakubalika sana, lakini wanaCCM wengi walichokifanya ni kitu kinaitwa 'kura za maruhani', Magufuli amepata ushindi wa makusudi makubwa dhidi ya chaguo la viongozi-Bernard Membe
, huku wanaCCM wakifahamu kabisa kuwa-John Pombe Magufuli hana uwezo wa kuwa mwenyekiti wao, na hana uwezo wa kuwa Rais wa JMT kabisaaaaa, sasa watafanyaje? alimradi chama kianguke, kife, wakose wote, na ndivyo itakavyokuwa, kama alivyosema mzee Kingunge.
UKAWA hatufurahii kuvuja kwa pakacha, kwani tulijiandaa vema, na wananchi ndilo tumaini lao, tupo imara, hata CCM wangeweka malaika, ushindi ulikuwa ni 'Guaranteed'. Lakini kwa sasa, nawaambia wanaCCM ambao wameshuhudia kuwa CCM hakuna demokrasia, wameshuhudia kuwa uongozi CCM unanunuliwa, wameshuhudia kuwa RUSHWA nyumbani kwake ni CCM, pamoja na maovu yote, wasikubali kufa kisabuni, waje waungane na wazalendo wa kweli UKAWA, tuijenge nchi kwa pamoja, bila hila.
Chademaaa...Vemaaaa:-
Hakii... Sawaaaaaa:-
NCCR-Mageuziiiiii:-
NLD.... Moto moto motoooooo
Mungu wabariki UKAWA, 2015 Nchi inajengwa kizalendo.