DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
KIROBA ametisha ila UKAWA ndo mwisho wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is the 21 Century, everything is Naked. You can search the truth by yourself.
He was even taken out of the Ministry of Health immediately, coz Drs were not ready to be led by a Fake Dr.
Kanda ya ziwa tuliwahi kuwa na mwalimu Nyerere Rais wa kwanza alifanya nini ndani ya kanda ya ziwa?
Kanda ya ziwa tuliwahi kuwa na spika wa bunge mh.Pius Msekwa alifanya nini?
Sasa Dr Magufuli kapitishwa na chama chake Mungu akimjalia akapasua mawimbi na upepo wa kisulisuli wa UKAWA huwenda atakuwa Rais wa JMT.
je? Atafanya nini kanda ya ziwa?
Karibuni mnijibu!
Raisi wa Dharula
Kwa urais kwakweli Magufuli kura yangu atapata,Wapinzani wafokasi kwenye ubunge na udiwani ili watupiganie katiba ya Warioba, katiba ya Warioba ikipita maanake na mfumo huo tunaoulalamikia utakuwa umefumuliwa na kusukwa upya,hatutaweza kuipata katiba tuitakayo kama Wapinzani hawatapata Wabunge wengi wa kutosha,we don't have to take our eyes off ball man!we need to strategize!Wakuu Magufuli ni kiongozi mzuri pamoja na makosa yake madogo madogo ambayo naweza kuyaita kuwa ni udhaifu wa kawaida wa kibinadamu. Hakuna binadamu aliye mkamilifu 100%
Tatizo kubwa Sana ninaloliona kwa Magufuli Ni mfumo wa chama alichomo. Ni vigumu Sana yeye as an individual kuubadilisha mfumo huo kwa sababu Kuna wakongwe ndani ya chama ambao hatakuwa na ubavu wa kuwaweka sasa. Hawa ndiyo waliyoliuwa azimio la Arusha.
Tone moja la maji safi haliwezi kufanya maji ya pipa ya masafi, haiwezekani. Hivyo Ni kuuondoa mfumo mzima ili nchi i-experience mfumo tofauti na ambao umekuwepo kwa zaidi ya miaka 50 bila mafanikio yaliyotarajiwa na ahadi nyingi ambazo zimeshindikana kutekerezeka.
Iko wapi nguvu mpya, Ari mpya na Kasi mpya? Iko wapi nguvu mpya zaidi, Ari mpya zaidi na kazi mpya zaidi? Yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania? Iko wapi Kigom kama Dubai ya Tanzania? Ziko wapi meli zilizoahidiwa kule Victoria, Tanganyika, Nyasa?
Bila kubadili mfumo Ni sasa na kuweka kuweka kilaka kwenye suruali ya zamani amakuweka mvinyo wa zamani kwenye kiriba kipya. Suruali itakuwa Ni ile ile ya zamani na mvinyo utakuwa Ni ule ule wa zamani. What we need is a complete chemicle change not physical change.
ukawa wakitemper kidogo tu kutuletea wale watu wao imekula kwao mazima.1. John magufuli kura 2104 %87.1
2. Rose migilo kura 59 %2.4
3. Amina salumu kura 253%10.5
ZilizoPigwa 2422
Haribika 6
Halali 2416
Hivyo magufuli ndio mgombea urais
UKAWA ijipange otherwise they will stay
Kanda ya ziwa tuliwahi kuwa na mwalimu Nyerere Rais wa kwanza alifanya nini ndani ya kanda ya ziwa?
Kanda ya ziwa tuliwahi kuwa na spika wa bunge mh.Pius Msekwa alifanya nini?
Sasa Dr Magufuli kapitishwa na chama chake Mungu akimjalia akapasua mawimbi na upepo wa kisulisuli wa UKAWA huwenda atakuwa Rais wa JMT.
je? Atafanya nini kanda ya ziwa?
Karibuni mnijibu!
aliwahi kuwasaliti wasukuma na akawaacha wafanyishwe mapenzi na miti,inaskitisha sana tulivyowepesi kusahau
| Salutation | Hon. | ||
| First Name: | Dr. Hussein | ||
| Middle Name: | Ali | ||
| Last Name: | Mwinyi | ||
| Constituent: | Kwahani | ||
| Political Party: | Chama Cha Mapinduzi | ||
| Office Location: | P.O. Box 9120, Dar es Salaam | ||
| Office Phone: | +255 754 279 343/+255 754 995 555 | Office Fax: | |
| Office E-mail: | hmwinyi@parliament.go.tz | ||
| Member Status: | Active | ||
| Date of Birth | 23 December 1966 |
| Manor House Junior School, Cairo, Egypt |
| Oysterbay Primary School |
| Azania Secondary School |
| Tambaza High School |
| Marmara University Medical School, Istanbul Turkey |
| Hammersmith Hospital, London, UK |
| Hammersmith Hospital, London, UK |
| Company Name | |
|---|---|
| Ministry of Defence and National Service | Minister |
| Ministry Of Health | Minister |
| Vice-President's Office - Union Affairs | Minister |
| Ministry of Health | Deputy Minister |
| Ministry of Defence and National Service | Minister |
| Hubert Kairuki Memorial University | Lecturer |
| Hubert Kairuki Memorial University | Specialist Doctor |
| Ministry of Health - Muhimbili Hospital | Registrar |
| Ministry of Health - Muhimbili Hospital | Doctor |
| Marmara University | Intern |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - National General Council |
| The Parliament of Tanzania | Member - Kwahani Constituency |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - Kwahani /Mkuranga Political Committee |
| The Parliament of Tanzania | Member - Mkuranga Constituency |
no! magufuli ni rais wa watanzania wote na ndo maana amekuwa akiwatumikaia watanzania wote pasipo kujali kanda,
so naamini atawatumikia watanzania wote,