Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Aliyekutuma kuandika gazeti mwambie watanzania wameamua kuchagua Lowassa.
 
Sisi wengi manaosema ukweli unatuuma,tunasema hata kama Lowasa hakufanya kitu,sisi tunampenda na tutamchagua,habari ndiyo hiyoo
 
Lowasa na Chadema iliyonunuliwa ndio mwisho wa upinzani. Tamaa.
 
Kama Magufuli aliweza kufanya vizuri basi uliomuwezesha kufanya kazi nzuri ni uongozi bora wa Lowassaa ambaye alikuwa ni boss wa Magufuli,ndiyo maana ili Magufuli aendelee kufanya vizuri ni lazima aendelee kuwa chini ya kiongozi bora ambaye ni Lowassa,vinginevyo aanze maandalizi mapema kwenda kuchunga mbuzi kijijini kwake.
 
ccm imetutapeli wananchi tulidanganywa maisha bora hatuja yaona ccm ikiendelea kutawala japo miaka miwili ijayo tz itazalisha wakimbiza wa maisha magumu
 
Maoni yako yatabaki kuwa yako tu, wengi nao wana yao.
 

habari ndiyo hiyo, mtakasirika sana mwaka huu.

ujue kweli umetumwa na umejitoa ufahamu unapost na kujijibu mwenyewe,
 
Unatujazia miutumbo kurasa 100 !
Ukweli wako unaodai upeleke nyumbani kwenu !
Hapa issue ni CHANGE/MABADILIKO TU !
Alafu angalia , usiendekeze sana njaa !
Vibia , vikanga mnavyopewa na ccm havitawavusha.
 

mgombea wenu hauziki hata mgelikesha hapa jf na kununua wasanii woote nchi nzima hamfkiii lowassa.

lowassa ni next level vjana wa lumumba hata makufuli analijua hilo.
 
Huyu sijui tumwite kibaraka , mamluki au kidampa wa ccm !
 
Hapa ni urahisi na sio uwaziri.naona kesho utatueleza na kumlinganisha na mgombea act ambaye hajawahi kuwa waziri
 
Umenena kweli!! Kwa utendaji wa Kinyapara-nyapara na kimitulinga-mitulinga, usio na weledi, akili na busara, Naaam; John POMBEMAGUFULI Yuko juu kuliko Lowassa!! Asante sana kwa utafiti wako mujarabu.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…