Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Mfuatiliaji, mchapakazi, muadilifu, amebeba dhamira za mabadiliko ya kweli. Dr john Pombe Magufuli ni kiboko cha mafisadi.
Mzalendo wa kweli.

Ewe Mtanzania, naomba kura yako kwa Dr John Pombe Magufuli siku ya Jumapili tarehe 25, ili na wewe uwe kwenye historia ya kumchagua rais wa awamu ya tano.

Tudumishe amani na upendo siku ya kupiga kura, kwani Tanzania ni moja.

Asante.
 
Kazi ni moja.Katalia mbali UKAWA katika ngazi zote.hili kundi la wahuni.wenyewe hawawezi kubisha
 
Mfuatiliaji,
mchapakazi,
muadilifu,
amebeba dhamira za mabadiliko ya kweli.
Dr john pombe magufuli ni kiboko cha mafisadi.....
Mzalendo wa kweli....
Ewe mtanzania naomba kura yako kwa dr john pombe magufuli siku ya jumapili tarehe 25 ili na wewe uwe kwenye historia ya kumchagua rais wa awamu ya tano..
Tudumishe amani na upendo siku ya kupiga kura kwani tanzania ni moja........
Asante...
Ama kweli umenena vyema na mimi kama mtanzania nisiyetumia viroba wala kugawiwa viroba sitafanya makosa.
najua urais siyo majaribio ya kumjaribu mtu dhaifu.Nitamchagua muadilifu,nitamchagua magufuli
 
mgombea uraisi kupitia chama pendwa cha mapinduzi aongoza kwa kupendwa na wananchi kuliko wagombea wote wanaogombea nafasi hyo nyeti.

hiyo imebainika kutokana na ahadi zake zenye kuleta mabadiliko mijini na vijiji

Magufuli amewaatahadharisha waliojimilikishia viwanda kama hawawezi kuviendesha ni bora wakavirudisha mara moja!

pia mh Magufuli ameendelea kuwaahidi watanzania kuwa atavifufua viwanda vyote vilivyopoteza muelekeo na vilivyokufa, hii ni pamoja na kuongeza ajira kwa VIJANA

Pia ameendelea kwa kusema akipewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania kitu cha kwanza kabisa kufanya ni kuwashughulikia mafisadi PAPA akiwepo Edward lowassa na wengine wengi...
 
Huyu ni mteule wa Mungu,shetani hana nafasi,hapa ni kazi tu kwa kuwa t umeshapewa kiongozi ambaye atatuvusha hapa tulipo kuelekea nchi ya asali na maziwa
 
Mikutano yao kinachotawala ni ''musikanyagane -vurugu tupu UKAWA
 
namkubari sana na najua ikulu inamhusu sana ,Mwenyezi mungu amtangulie kw kweli
 
Wafuasi wengi wa UKAWA wana uwezo mdogo wa kufikiri. Wanaendeshwa na hasira,chuki na ushabiki wa kiajabu ajabu. Hawajui kupambanua mambo. Na humu JF wapo wengi tu wenye tabia hizi
 
Tarehe 25 tumpigie Magufuli mtu mkweli na mchapa kazi
Tuikatalie mbali UKAWA.ni wababaishaji,wahuni na vigeugeu.mwenye akili anaona wazi

Aidia;
Watanzania letu moja tuuuu. 25 Oktoba, 2015 tunamchagua Edward Ngoiyai Lowasa kuwa rais wetu, na mbunge wa ukawa na diwani wa ukawa tuliondoe zimwi hili ccm madarakani. Tumechoka kudanganywa na ahadi zisizotekelezeka. Tumechoka kuongozwa na wasio na mwelekeo kazi kukopy na kupesti sera za upinzani.
Tumechoka kuwasikia viongozi wetu wakishangilia matusi, yaani tumechoka.
Tumechoka kusikia watu wanaupinga Ukanda, ukabila na udini huku wakienda kwenye majukwaa hizo ndo sera zao mpaka wanaomba kura kisukuma. Yaani tumechoka.
Hapa kazi ni moja tu. Tunachukua karatasi ya uchaguzi, tunamchagua LOWASA kwa MABADILIKOoooooooooooOOOOOOOO
UKAWA NDO MABADILIKOOOOOOoooooOOOOOO. Kwa heriiiiii
 
UKAWA TUIKATAE KABISA.kila mtu anafahamu UKAWA ndio kitovu HATARI cha udini,ukanda, ukabila na uhuni.eti watamfufua Gavana.uhuni mtupu
Ndani ya ukanda ukawa ni ukabila mtupu.watanzania tusidanganywe
 
Back
Top Bottom