Dr. Khiago Kilonzo kikaangoni, kuenguliwa muda wowote!

Dr. Khiago Kilonzo kikaangoni, kuenguliwa muda wowote!

Kumtaja Tido ndio umeonekana habari ya kutunga,Tido ni 70+,bodi yafilamu ni taasisi ya seeikaki ba katibu mtendaji ni mwajiriwa wa serikali,lazima awe na sifa za kuwa katibu wa idara,wizara,taasisi ya serikali,kwa umri wa Tido hana hizo sifa
 
Hivi huyo wa nyuma yake ni sanamu au mtu maana ana bichwa kubwa sana ...........hivi huyo naye alipita ukeni au???
Nilishaanza kucheka ila umemalizia vibaya, dah!
 
View attachment 3156973

Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen!

Kama mtakumbuka vyema, mwishoni mwa mwezi May niliwaletea habari kuhusiana na suala la Dr. Khiago kutumia nafasi yake kama Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini kufanya upendeleo katika ziara iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais ambayo wasanii na wadau wa filamu nchini waliungana na Rais kuelekea Korea ya Kusini.

Niliwaelezea namna Dr. Khiago alivyotumia nafasi yake hiyo kumuengua msanii (Mwanamama) aliyependekezwa hapo kabla kisha kumuweka anayedaiwa kuwa 'mpango wa kando' wake. Kitendo hicho kilituumiza tuliokuwa wengi, hadi kupelekea mimi kupaza sauti hapa jamvini...

Hivyo basi, hilo na mengine mengi vimepelekea Dr. Khiago kukosa sifa ya kuendelea kuwa Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba tayari ameshaenguliwa katika nafasi hiyo, na Katibu Mkuu mpya atakuwa baina ya Tido Muhando, Dr. Kasiga kutoka Udom au mwingine ambaye nimeshindwa kulipata jina lake kwa uharaka.

Penzi kitovu cha uzembe... Dokta atarudi kufundisha chuo kikuu kutoka kuwa Bosi wa bodi ya filamu nchini!

Chanzo changu nyeti pamoja nami,

Nifah.

Pia soma
Aisee soo jamaa aliona bora abe e mbususu yake 🤣🤣🤣🤣
 
Imemponza, kala umeme.
Ah muhimu alikula mbususu hayo ya madaraka yanakuja nankuondoka asingekaa hapo milele.
Mwanaume ukipata cheo tumia vizuti kwa kugegeda warembo wazuri wazuri.
 
Ila kufundisha chuo kikuu ni kazi ya heshima sana na huko anaweza kujisevia naniliu ambazo zipo fresh, aachane na hizo za bongo muvi ambazo zimeshatembea kilometa nyingi 😏
 
Ila kufundisha chuo kikuu ni kazi ya heshima sana na huko anaweza kujisevia naniliu mabazo zipo fresh, aachane na hizo za bongo muvi ambazo zimeshatembea kilometa nyingi 😏
Vipi kuhusu maslahi? Anarudi kusubiri mshahara kwa mshahara kutoka kuwa bosi.
 
Back
Top Bottom