DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.

 
Mnawaona wasiotaka reforms wanajitokeza taratibu. Reforms zinaleta hofu kwa mabilionea wanasiasa wanaokula bata wakati kijijini mama anapoteza maisha kwa kukosa 150,000 ya kujifungua na tunasubiri wajerumani watuchimbie vyoo.
 
"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.

Billionea anaogopa kusema maana itabidi aongeze ulinzi, na gharama za kuwa billionea ni kubwa
 
Serikali za kiafrika ni kwaajili ya kufanya viongozi wa aina yoyote kuwa mabilionea. Haziko kwaajili ya wananchi, kuwaletea maendeleo. Wananchi wasipolijua hili, watabaki masikini milele. Vipi Bilionea kaacha uchafu na mkewe?
 
Aache wengine wagombee ubunge sasa atosheke
..



hawez tosheka kwa kuwa tabia za mnyama huwa hawatosheki
 
Masikini ya Mungu
Hiyo B kama ni shillingi kwa mtu aliefanya kazi tena kubwa serikalini na Ubunge miaka, ni ya kujisifia?

1b ni hela ndogo sana kwa mtu kama yeye aisee
Labda angesema $1b

Anajidhalilisha sana
Hiyo 1b jamaa amesema tu ila yeye mwenyewe hamisi aliulizwa na cza kati ya 10b hadi 20b anaweza akawepo katikati akajibu ndio anaweza akawepo
 
Masikini ya Mungu
Hiyo B kama ni shillingi kwa mtu aliefanya kazi tena kubwa serikalini na Ubunge miaka, ni ya kujisifia?

1b ni hela ndogo sana kwa mtu kama yeye aisee
Labda angesema $1b

Anajidhalilisha sana
We unayo?
 
Hahah naomba mtaji mkuu .
Mimi nimemshangaa tu yeye maana mpaka Uwaziri kapita na ubunge
Sasa kusema 1b ni kujidhalilisha tu

Hizo ni kama £285,000 tu

Kama unahitaji mtaji njoo na plan ya uhakika na iwe yetu wote

Wastaafu wanapigwa sana eti
Kwa hiyo lazima niwe makini, kusema kweli hiyo sio hela nyingi kwa aliezishika
 
Back
Top Bottom