Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Sasa ni faida ipi ya kuishi? What is the meaning of life? Hata hii internet unayotumia leo aliegundua siyo billionaire lakini yupo anaishi vizuri tu. Angesema mapito tu angengojea ajifie na sisi hatungekuwa tupo hapa.Dunia hii ni ya mapito tu
Mali hizi tunaziacha na wengine watazikuta au zitateketea tu
Nashukuru kwa hilo
Unaweza kulizwa na ndugu yako halafu akaja mtu baki kukuokoa.
Tumuombe Mungu sana na kukubali kila tunachopitia na kushukuru.
Mazuri na mabaya yote yapo Mkuu
Nina experience ya maisha sana na ninajua mengi
Karibu sana hata kwa kusaidiana ushauri ni vizuri