DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

Siyo huyu aliyetaka kumkopa MO mpaka sasa hawaongei. Samahani kama sio yeye maana ni siku nyingi kidogo.
 
Serikali za kiafrika ni kwaajili ya kufanya viongozi wa aina yoyote kuwa mabilionea. Haziko kwaajili ya wananchi, kuwaletea maendeleo. Wananchi wasipolijua hili, watabaki masikini milele. Vipi Bilionea kaacha uchafu na mkewe?
Hivi kuna ufahari wa mtu kuwa au kuishi kimasikini?
Kuna ubaya gani kiongozi akiwa na ukwasi?
 
Hak
Huyu analipa na kukadiriwa kodi sahihi na TRA?

Manake wafanyabiashara wadogo wanakatwa utitiri wa kodi huku bilionea mwanasiasa anaficha shughuli zake za kibiashara na kiuchumi.

Kodi ya mapato kutoka shambani, bonds, msharara, 10% withholding tax on retained earnings n.k

TRA watanue wigo :

BREAKING NEWS MWIGULU INTRODUCES NEW TAXES INCLUDING :
Alongside the introduction of a 10% withholding tax on retained earnings, there were several proposed changes in the Tanzania Budget 2025 to other withholding tax provisions potentially affecting digital services..
Source : Hansard Bunge Dodoma
Hujui usemalo
 
Sio tatizo mtu kua bilionea au tajiri ila shida namna unavyotajirika je ni kihalali?
 
⏩⏩Ndani ya ccm, ubunge, uwaziri, rushwa, uonevu KWA NINI USIWE BILIONEA?,
Zamani kidogo, tungekufilisi maana umesha jieleza waziwazi, unamiliki hisa?, hii ilikuwa disqualification, huifai CCM, Leo watu wanatamka haya WAZIWAZI?,
#WAKATI ULE HIKI NDICHO KILICHOKUWA KIPIMO CHETU NAMBA WANI YA KWAMBA WEWE HUTUFAI KABISA KABISA, CHA AJABU LEO HII SUALA HILI BAYA KABISA LINAGEUKA SIFA ZA MTU KUJIKWEZA NAZO!

(Rais nipe pande niwanyooshe Hawa)
Unaona sasa!?
Mara kwa mara nimekuwa nikiandika kuwa CCM ya sasa sio chama cha siasa bali ni genge la wanyang'anyi, leo umethibitisha hilo.
 
Sasa yeye bilionea, bado anataka ubunge?!
Na WADANGANYIKA watampa kura/kula!
INASIKITISHA SANA SANA SANA..
Ubunge siyo kwa ajili ya maskini tu, ni kwa mtu yeyote bila kujali kipato chake.
 
Tunajua ni Bilionea, Ndagu ya damu yako halisi haikatai.
Ni mwendo wa kumimina maokoto tyuuh.
 
Back
Top Bottom