Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
We unayo hiyo b1Mimi nimemshangaa tu yeye maana mpaka Uwaziri kapita na ubunge
Sasa kusema 1b ni kujidhalilisha tu
Hizo ni kama £285,000 tu
Kama unahitaji mtaji njoo na plan ya uhakika na iwe yetu wote
Wastaafu wanapigwa sana eti
Kwa hiyo lazima niwe makini, kusema kweli hiyo sio hela nyingi kwa aliezishika